Erick Kabendera kupitia Kitabu chake: Ben Saanane aliuawa na Rais Magufuli na maiti yake ikatupwa Mto Rufiji

Erick Kabendera kupitia Kitabu chake: Ben Saanane aliuawa na Rais Magufuli na maiti yake ikatupwa Mto Rufiji

Nothing is impossible under the sun.

Maybe the book has 'some kind of proof', I mean just maybe. To get the hard evidence whilst the accused was a sitting president, it's kinda tricky.

both opposition and government sources I have spoken to confirm that he was taken to state house where the president, who always carried a gun, personally shot him in the head. His body was then dumped in the river Rufiji.

That is hearsay at best.., hata wewe leo ungeweza kuandika kitabu humu na kuweka story za uliyoyasikia na kama uliyoyasikia hata hausemi ni nani alikwambia ili tuweze kuona credibility ya aliyekwambia.... Tofauti kama angeona mwenyewe angalau angeweza kusimamia anachokisema...
 
The shit has now backfired, ukweli unaaza kudhihirika slowly but surely. System walijifanya ni spin masters sasa wanaumbuka wenyewe, case yoyote ambayo serikali haihusiki lazima upelelezi utakuwa ni WA nguvu na wahusika lazima watakamatwa.
 
both opposition and government sources I have spoken to confirm that he was taken to state house where the president, who always carried a gun, personally shot him in the head. His body was then dumped in the river Rufiji.

That is hearsay at best.., hata wewe leo ungeweza kuandika kitabu humu na kuweka story za uliyoyasikia na kama uliyoyasikia hata hausemi ni nani alikwambia ili tuweze kuona credibility ya aliyekwambia.... Tofauti kama angeona mwenyewe angalau angeweza kusimamia anachokisema...

Panapofuka moshi ujue baadae moto utawaka. Tuviachie vyombo husika vifanye uchunguzi wa hoja za mwandishi. For us, this is just a peek through sources of multiple possibilities.
 
Panapofuka moshi ujue baadae moto utawaka. Tuviachie vyombo husika vifanye uchunguzi wa hoja za mwandishi. To us, this is just a peek through sources of multiple possibilities.
Unadhani Vyombo vya Sheria vinafanyia kazi habari kama hizi (tena anaweza kujikuta kwenye misuko suko ya Slander) unless waliopo sasa watake kulitumia hili kama Turufu ya Kisiasa..., Kama kweli watu wanataka kulifanyia kazi ni hizo credible sources kutoka na kusimamia hoja zao..., Ndio maana nikasema hili sio jambo dogo la kusema tu by the way..., Ni Mauaji ya Mtanzania tena cold bloodedly.., at a Sacred Place and by the Highest Institution in the Country..., Sio ya kutoa kauli kama Mechi ya Simba na Yanga bila kuwa na back up ya Concrete Reasonably Evidences na muda ushapita hizi issue za He Say / She Say zinapoteza Uzito na kama ni kweli basi the whole Power / System at the time lazima wawajibike by association....

Tukichukulia kila Andiko kwamba ni kweli basi wengi tutaishia kwa Pilato.... (Tena andiko lenyewe likiwa sio first hand bali ni habari za kuambiwa / kuhadithiwa)
 
both opposition and government sources I have spoken to confirm that he was taken to state house where the president, who always carried a gun, personally shot him in the head. His body was then dumped in the river Rufiji.

That is hearsay at best.., hata wewe leo ungeweza kuandika kitabu humu na kuweka story za uliyoyasikia na kama uliyoyasikia hata hausemi ni nani alikwambia ili tuweze kuona credibility ya aliyekwambia.... Tofauti kama angeona mwenyewe angalau angeweza kusimamia anachokisema...
That's why I'm giving it probable chances 50/50, at least there was a motive. The fake PhD saga could be the reason behind this.
Hearsay at it's peak yeah lakini circumstancial evidences zinamlenga Jiwe.
 
Mkuu iko hivi serikali hasa ya Dkt Magufuli ilikuwa haihusiki kabisa na utekaji. Kilichotokea ni maji kwa maji kuchanganyikana. Yaani kuna mfumo ndani ya mfumo uliotumika na msoga kuhakikisha unafanya vitu vya kuua na kuteka ila vipo ndani ya mfumo. Uzuri mpaka sasa wengi wao wameondolewa. Ndiyo hiyo unaona hata Dkt Samia wanamfanyia huo mtindo ili kumchafua
Can you prove this?
 
That's why I'm giving it probable chances 50/50, at least there was a motive. The fake PhD saga could be the reason behind this.
Hearsay at it's peak yeah lakini circumstancial evidences zinamlenga Jiwe.
Hapa hatuongelei what happened Mimi, wewe wala Kabendera mwenyewe kutokana na Hoja alizoleta hatujui..., Tunachokiongelea ni kuchukulia hii allegation ya kwenye Kitabu ambacho hata yeye mwandishi hakuwepo na ameambiwa na watu ambao hatuwajui.., hivyo hatuwezi kuchukulia ndio kilichotokea, zaidi ya another theory in the pile..., At best kwenye hii Saga ya kutafuta ukweli, maandiko yangebase kwenye what is known, what are the rumors from different sides na hitimisho kwamba until now its a cold case...., Sababu kama hao sources wapo na kweli wanataka Haki, ambao bado wapo na walikuwepo kama accessory kwanini tusianze na hao ?

Tatizo hii nchi tulianza na tunaendelea kucheza na Nyani matokeo yake tunaendelea kuvuna Mabua..., Na kwa upuuzi unaoendelea bila Utanzania wetu (ambao sio wanyama per se na bado tuna utaifa) huenda tukaelekea kwa ndugu zetu Kenya Manyagau ambao kuuwana uana kumekuwa order of the day.... Statement zinatoka toka tu fulani kapewa sumu, nilipewa sumu, kutekwa, kungolewa meno wengine kumiminiwa Risasi.., And yet nothing seems to be done.., Tunahitaji mtiririko wa what is known from different angles na sio a biased one way hearsay version / theory and turning it into facts...
 
Nanukuu......
Kitabu cha “In the Name of the President: Memoirs of a Jailed Journalist” kilichoandikwa na Erick Kabendera, @kabsjourno kimeanza kuuzwa leo. Mwandishi anaeleza kuhusu kutekwa na kuuwawa kwa Ben Rabiu Focas Saanane, December 2016 alipigwa risasi na mwili wake kutupwa mto Rufiji.

View attachment 3189981View attachment 3189980
MWANZO 4
8. Kaini akamwambia Habili nduguye, [Twende uwandani]Ikawa walipokuwapo uwandani,Kaini akamwinukia Habili nduguye,akamwua.
9 Bwana akamwambia Kaini, Yuko wapi Habili ndugu yako? Akasema, Sijui, mimi ni mlinzi wa ndugu yangu?
10 Akasema, Umefanya nini? Sauti ya damu ya ndugu yako inanililia kutoka katika ardhi.
11 Basi sasa, umelaaniwa wewe katika ardhi, iliyofumbua kinywa chake ipokee damu ya ndugu yako kwa mkono wako;

Damu ya Ben Saanane ilimlilia Mungu na tuliyoyaona mpaka sasa , ni kutimiza laana kwa mtu aliyemuua.
 
Magu hakupenda kukosolewa na aliona ni mpinga maendeleo...

Hata humu Kuna kina TUMAINI EL walisema wazi Ben alichukuliwa na kuuwawa..

Pia humu ndani Kuna thread za ben kutishwa na aliandika mpaka namba za simu za watesi wake walio kua wakimtishaa
Tunaomba Link...

...Ni Hayo Tu!
 
MWANZO 4
8. Kaini akamwambia Habili nduguye, [Twende uwandani]Ikawa walipokuwapo uwandani,Kaini akamwinukia Habili nduguye,akamwua.
9 Bwana akamwambia Kaini, Yuko wapi Habili ndugu yako? Akasema, Sijui, mimi ni mlinzi wa ndugu yangu?
10 Akasema, Umefanya nini? Sauti ya damu ya ndugu yako inanililia kutoka katika ardhi.
11 Basi sasa, umelaaniwa wewe katika ardhi, iliyofumbua kinywa chake ipokee damu ya ndugu yako kwa mkono wako;

Damu ya Ben Saanane ilimlilia Mungu na tuliyoyaona mpaka sasa , ni kutimiza laana kwa mtu aliyemuua.
Muuaji wa Ben ni mbowe bado anadunda. Kifo cha Dkt Magufuli kilipangwa na wauaji timu msoga na inajulikana. Acheni kueneza uongo.
 
Ukilingnisha na ofisi ya Rc unakosea.

Ikulu ina utofauti kwa sababu, ni ofisi na makazi ya Rais hapo hapo.

Rc haishi ofisini anapofanyia kazi.

Sasa kufanyia mauaji nyumbani kwako na huku una mamlaka ya kuamrisha tu mtu kwenda kufyekewa mbali na ikawezekana, nd'omimi akili inagoma kuamini.

Na huyu mwandishi anajulikana kwa adha aliyoipata kwenye utawala huo, siyo wa kumuamini sana.

Umenena vyema. Katika hali ya kawaida kufanya hicho kinachosemwa hapa ni ngumu kuamini. Ikulu ni mji. Una watu wengi sana. Vitu kama hivyo si rahisi kufanyika hapo. By the way, yeye ana mamlaka ya kuamuru jambo na kutekelezeka. Anatoa serious allegations with no tangible evidence. Hili lazima liangaliwe na state. Maana siyo aibu kwa utawala wa awamu ya 5 tu, bali kwa nchi yote bila kujali nani anatawala.

Lingine ambalo ni la msingi ni mtafaluku aliopata kwa serikali wakati akiandika makala zake za kuiponda nchi.

Huyu Kabendera ni aina ya watu ambao wanaamini sana "umagharibi". Katika makala nyingi alizoandika amekuwa akiisema vibaya Africa nje ya bara la Afrika. Inakuwa kana kwamba kuripoti hivyo kunalipa bara letu afuweni. Kumbe ni kulidogosha bara letu zaidi ya uhalisia wake. Jambo ambalo halina afya kwa mustakabali wa bara letu. Yeye ni kibaraka wa magharibi. Analipwa kwa kazi ya kuandika vibaya watawala wetu wenye mlengo wa kupishana na magharibi. Hata kipindi kile anafanyiwa upekuzi, alikutwa na miamala mingi tu katika akaunti yake ya benki ambayo haina maelezo kama ameuza nini au kafanya kazi gani. Aina hii ya watu aghalabu hutumika sana kuchagiza machafuko maeneo mengi ya migogoro Afrika. Pengine alikuwa akitumiwq pesa kwa ajili ya kufanikisha vikundi vya wanaharakati kutia ndani watetezi wa mapenzi ya jinsi moja. Hata ukiangalia na kuchunguza vizuri, unaweza ukagundua ya kuwa yeye ni mmoja wa viungo wazuri sana wa machafuko huko mashariki ya drc. Watu kama Kabendera ni wa kukaa nao kwa makini sana. Anaweza kufanya lolote kwa sababu pia anonekana hana nasaba ya moja kwa moja na Tanzania 🇹🇿. Ana uraia tata.
 
Kama serikali italikalia kimya hili la rais wa nchi kuua hakuta kuwa na shaka uwepo wa serikali mkono wake kwenye hiki kitabu.
Mkuu Cheo Cha Urais kinakaliwa na Binadamu ..
Najua unashangaa sana kuona Jina Rais kuuwa ...

Lakini tambua yule alikuwa Binadamu tena mwenye hisia Kali na wakati mwingine alishindwa kutawala hisia zake ...

Nakupa mfano mmoja ...Mkuu wa Mkoa DSM alishauwa mtu ..akashusha na bia mbili baada ya tukio.. Tena akajisifia kibaka akiingia kwangu kuchukua kuku wangu hii ndio dawa ..
Anashindwa kujua mtu hana silaha na ni kibaka..lenga hata mguu
 
Back
Top Bottom