Erick Omondi aja na Saratina, Steve Nyerere tukupende kwa lipi?

nimecheka sana kwa kweli ule ufaji ule dah....what a good night for me.....kwanza muonekano wa Omondi nkawa natabasamu sassa kasheshe naangali aitakuwaje akipigwa mtu risasi...jamaa kapewa moja aiseee huko kufa sasa nimependa sana comedy ya ukweli hii
 
Hakika umependa mkuu....
 
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji125] [emoji125]
 
Risasi za siku hizi zinaua kama mose iyobo yupo kazini.......omondi ni shida
 
Wakenya wanasapoti mziki wetu sana...tuwasapoti na siye comedy yao. Comedy za Tanzania kuigiza sauti tu.
 
Stive nyerere abakie kuwachekesha wana CCM wenzie. Stive Nyerere hajawahi kuivutia hata chembe.
 
Ufaji wa kisasa[emoji1] sarakasi pushapu..then unakufa..[emoji124] [emoji124]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…