Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo risasi itakuwa na chembechembe za muziki.Nimependa yule mwanafunzi alipopigwa risasi na jinsi alivyoanguka
Hakika umependa mkuu....nimecheka sana kwa kweli ule ufaji ule dah....what a good night for me.....kwanza muonekano wa Omondi nkawa natabasamu sassa kasheshe naangali aitakuwaje akipigwa mtu risasi...jamaa kapewa moja aiseee huko kufa sasa nimependa sana comedy ya ukweli hii
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji125] [emoji125]nimecheka sana kwa kweli ule ufaji ule dah....what a good night for me.....kwanza muonekano wa Omondi nkawa natabasamu sassa kasheshe naangali aitakuwaje akipigwa mtu risasi...jamaa kapewa moja aiseee huko kufa sasa nimependa sana comedy ya ukweli hii
Sio anajaribu mkuu, anaweza kuvaa nguo za ke vinginevyo hana jipyaNdio tunatakiwa tujifunze.. Joti huwa anajaribu kidogo
Ufaji wa kisasa[emoji1] sarakasi pushapu..then unakufa..[emoji124] [emoji124][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Uyo Omondi siyo wa hapa asee!!
Sasa ule ufaji wa yule jamaa alo pigwa risasi sijawahi ona asee[emoji28]
Nakushangaa bongo kuna watu wana jiita ma comedian wana tuchaj mpaka hela et, wakati hawafikii hata nusu ya effort za mtu kama Omondi