MOTOCHINI
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 28,064
- 31,401
Nawaonea hurumaTena vita ya insta watapigwa 10 - 0
Watu wenyewe Instagram Bado wanashangiria kuwa na Followers 2ml na hapo 70% ni watanzania
Kazi wanayo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nawaonea hurumaTena vita ya insta watapigwa 10 - 0
Nawaonea huruma
Watu wenyewe Instagram Bado wanashangiria kuwa na Followers 2ml na hapo 70% ni watanzania
Kazi wanayo
Angetumia Twitter ningemuelewa IGkwa social media omondi amegusa sehemu isiyo sahihi kabisa.
kwa social media omondi amegusa sehemu isiyo sahihi kabisa.
Haahaa haitafika huko.Muache atajisahau, unakumbuka kilicho wakuta wale wa nyimbo ya iokote
wewe endelea tu kumjaza ujinga...
concern yangu sio kucheka au kununa. ni eric omond yeye mwenyewe.Ndio maisha ya comedian, wengine mtacheka na kuna wale mtanuna, ila kwa Tanzania nafikiri mna tatizo kitaifa na ndio maana kwenu comedy hainogi kabisa, yaani kama nchi mnaishi maisha ya full kununa. Ndio maana mumetajwa kwenye ndani ya mataifa ambayo yanaongoza duniani kwa wananchi wake kuishi kwa dhiki bila furaha.
Hebu fuata hi link hapa uone mumewekwa kwenye level moja na Syria
![]()
These are the 10 happiest and unhappiest countries in the world in 2019
The world is becoming less happy.www.fastcompany.com
Afu Omondi hajui Magu na vijana wake hawajui kusamehe wala kusahau.that's too bad for him.
mara kadhaa huwa anavuka boda kuja tz kufanya stand up comedy zake na mwisho wa siku huwa analipwa kwa currency ya kitanzania ambayo leo ameifanyia dhihaka kwenye kurasa zake za social media.
namuonea huruma cos mpaka hapo tayari ameshaingia kwenye kumi na nane ya authority ya tz. ni suala la mda tu atajisahau halafu atakumbushwa.
Ndio maisha ya comedian, wengine mtacheka na kuna wale mtanuna, ila kwa Tanzania nafikiri mna tatizo kitaifa na ndio maana kwenu comedy hainogi kabisa, yaani kama nchi mnaishi maisha ya full kununa. Ndio maana mumetajwa kwenye ndani ya mataifa ambayo yanaongoza duniani kwa wananchi wake kuishi kwa dhiki bila furaha.
Hebu fuata hi link hapa uone mumewekwa kwenye level moja na Syria
![]()
These are the 10 happiest and unhappiest countries in the world in 2019
The world is becoming less happy.www.fastcompany.com
kwani hizo mbio mnakimbia nini ikiwakimbiza[emoji23][emoji23][emoji23]???Watanzania kwa hivyo Instagram ndio sifa yenu? Wakati wengine wanafurahia kuvunja rekodi za mbio za mita Mia nane, marathon, half marathon, nyie mnakuja hapa kujisifia kuwa mtatuchapa kwenye insta. Sawa endeleeni na maselfie sie tunajenga viwanda na kuzaa Akina Obama na Lupita.
Kwa social media tumewatwanga;kwa social media omondi amegusa sehemu isiyo sahihi kabisa.
eti eh!!Kwa social media tumewatwanga;
Nigeria
South Africa
Uganda
Zimbabwe
Ghana
CNN
Tanzania na bado tutawatwanga Tena.
Ahhahaha youtube wasanii wenu kufikisha views milioni moja inawachukua mwaka [emoji23][emoji23][emoji23]alafu unajisifia mmetwanga,Kwa social media tumewatwanga;
Nigeria
South Africa
Uganda
Zimbabwe
Ghana
CNN
Tanzania na bado tutawatwanga Tena.