Erick Omondi Trolls Tanzanian Currency .

nyang'au leo naona meno mtamaliza mdomoni
 
wewe endelea tu kumjaza ujinga...

Ndio maisha ya comedian, wengine mtacheka na kuna wale mtanuna, ila kwa Tanzania nafikiri mna tatizo kitaifa na ndio maana kwenu comedy hainogi kabisa, yaani kama nchi mnaishi maisha ya full kununa. Ndio maana mumetajwa kwenye ndani ya mataifa ambayo yanaongoza duniani kwa wananchi wake kuishi kwa dhiki bila furaha.
Hebu fuata hi link hapa uone mumewekwa kwenye level moja na Syria
 
concern yangu sio kucheka au kununa. ni eric omond yeye mwenyewe.

kwa tanzania hii ya jiwe inabidi ufanye calculation kwanza kabla haujafanya jambo lako ambalo litaonekana kwenye social media.
 
Afu Omondi hajui Magu na vijana wake hawajui kusamehe wala kusahau.
 
Watanzania kwa hivyo Instagram ndio sifa yenu? Wakati wengine wanafurahia kuvunja rekodi za mbio za mita Mia nane, marathon, half marathon, nyie mnakuja hapa kujisifia kuwa mtatuchapa kwenye insta. Sawa endeleeni na maselfie sie tunajenga viwanda na kuzaa Akina Obama na Lupita.
 
Huyu huyu Omondi ambaye Kukariri nyimbo za Diamond kunamuweka mjini?
 
Hatutaki masiala na utani wa taifa letu tutanie sisi wenyewe na siyo Taifa letu Pumbavu Omond
 
kwani hizo mbio mnakimbia nini ikiwakimbiza[emoji23][emoji23][emoji23]???
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Ujue Wakenya enzi za 90s and early 2000 tulifikiri kuwa To ukitaka kununua Runinga itakubidi ukodishe pick up ama lorry kubebe hizo hell kwa mangunia.
 
kwa social media omondi amegusa sehemu isiyo sahihi kabisa.
Kwa social media tumewatwanga;
Nigeria
South Africa
Uganda
Zimbabwe
Ghana
CNN
Tanzania na bado tutawatwanga Tena.
 
Kwa social media tumewatwanga;
Nigeria
South Africa
Uganda
Zimbabwe
Ghana
CNN
Tanzania na bado tutawatwanga Tena.
Ahhahaha youtube wasanii wenu kufikisha views milioni moja inawachukua mwaka [emoji23][emoji23][emoji23]alafu unajisifia mmetwanga,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…