Erick Omondi Trolls Tanzanian Currency .

Binafsi sina uwezo wa kumchukulia hatua. Nilikuwa naweka mambo sawa huenda utaratibu wa Kenya na Tanzania ni tofauti. Pia jinsi unavyompa saport likitokea la kutoke usisite kumsaidia badala ya kubaki nyuma ya baobonye ukijificha

Hamna cha utaratibu wala nini, nyie ni watu wa full majungu, kwenu huko mkuu wa mkoa bwan Makonda anavamia kituo cha habari na kuvuruga vijana wasanii, mnaishi maisha ya ovyoo sana.
Haya hii nyingine hapa ya Eric bado aanendelea kufanya yake, nendeni mumteke, muwatume wale watu wenu wasiojulikana

 
Looooll....Imma wait for the comments...loool....
 
Mpaka sisi Waafrika tuje tuelewe maana ya comedy sijui itakua karne ya ngapi masikini!

Hii ni pure comedy,cha ajabu watu wamesha catch feelings already!

Too bad!

Tungekua tunakaa Marekani sijui tungekua tunaishije!

Tuelewe comedy na tuwaelewe comedians na tusiichukue zaidi ya hapo!

Tatizo,tutachukua kama karne 3 hivi tuelewe!
 
AISEE WEWE NI MTU WA MOMBASA AU? MAKONDA NI MKUU WA MIKOA YOTE TANZANIA? UTARATIBU HAUJALI WEWE NI NANI
NAKUSISITIZA TENA LIKITOA JITOKEZE.
 
mkuu,
shida sio mimi, shida ipo kwa watu wa karibu wanao mshauri jiwe vile walivyoipokea hiyo comedy.

huwezi juwa hiyo clip wanaitafakari vipi na mikakati gani wanapanga ya kumshughulikia endapo atakuja tz kufanya comedy.

binafsi sina tatizo na eric omond.
 
Erico saa zingine hunivunja mbavu, haya yote ni matani majamaa msichukulie kila kitu serious sana mtazeeka haraka. #KENVSTAN
 
Sarafu ya Tanzania inaelekea kuwa kama ile ya Zimbabwe ana Venezuela ...near worthless.
 
Diamond mtu mbaya sana.chuki hii imeanza na yeye,wasanii wa kenya wanamgwaya
 
Nimekuja kugundua kuwa wakenya wanawaogopa sana watanzania. They are really scared!
 
Nadhani atashughulikiwa ki comedian tu hata kama kuliwa kiutani utani wakamtatua malinda kiutani asikasilike tu
 
Ila Kuna kaukweli.. Wao wakitoa sh 1 sie zetu 20. .so ratio ni 1:20
Ina maana kama ni noti wao wakitoa moja sie tunatoa noti 20

pesa huwa ni ya ajabu sana kama unavo sema,unaweza kukuta hilo andazi likawa bei kwa kenya thamani yake ila kwa nyumbani ukapata maandazi zaidi ya moja kwa pesa ndogo.sema ikawa huko ndo itaonekana nyingi pesa
 
Mnaishi maisha magumu sana, full minuno hata kwa comedy....
mkuu watu tumevurugwa hatari yaani sometimes unaweza utukane hata jogoo akiwika karibu yako, tanzania ilipotea after kikwete now tunaishi north korea.
 
Sasa ww?? Kama hii ni comedy na kila mtu anajua hvyo huyo atachukuliaje kuwa ni serious??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…