Lile tamasha lake la Amani biafra la kulaani maandamano ya CDM mbona linamgeuka tena....
Kweli ukilaani nawe Utalaaniwa...
Kumbe jamaa passport aliyonayo ni ya kidilomasia na amepewa na Museveni mwenyewe na ni balozi wake! Baada ya kuinyang'anya akamshinikiza hampi passport mpaka afanye show next sunday,
Aibu sana kwa sanaa yetu nchini! Chamilion ameshapaa asubuhi leo na alikuwa show ya MTN jana ya 20USD! Wanasheria walishafika hapa tz tangu jana kusimamia maslahi yake!
Na kama Shigongo kweli hamjui Manager wa Chamelione ni ajabu na aibu, staa kama yeye, wafanyakazi wake wana Udaku kibao, wanashindwa kumweleza Boss wao kuwa Manager wa Chamelione ni nani?!
mkuu vipi? HAPO KWENYE RED NI SAWA?
Shigongo lazima kesho aseme Kwa magazeti yake kuwa Chamelion ni Free Mason.
Muonee huruma bwana, nyie kina dada ndio wadau wake wakubwa na magazeti yake yanayotajwa kuwa ni magazeti pendwa nchini!Huyu Shigongo toka ajiunge na chama cha wadhaifu nae amekuwa na akili dhaifu kweli kweli.....mie hata simuhurumii!
Yericko Nyerere mie huwa simuhurumii yeyote anayeshabikia hiki chama cha mabwepande......yaani hata kama ni ndugu yangu kweli sina huruma nae!Muonee huruma bwana, nyie kina dada ndio wadau wake wakubwa na magazeti yake yanayotajwa kuwa ni magazeti pendwa nchini!
mkuu vipi? HAPO KWENYE RED NI SAWA?
mkuu vipi? HAPO KWENYE RED NI SAWA?