Erick Shigongo atiwa kizuizini

Erick Shigongo atiwa kizuizini

Shigongo lazima kesho aseme Kwa magazeti yake kuwa Chamelion ni Free Mason.
 
kwani bado anaendelea kusimamia Dar Live ya Riz1 -Mbangara zakhiem?
 
Kaingia choo cha kike alifikiri Chamelioni ni mwanamuziki uchwara kama aliowazoea wa KiTZ ambao wanaonekana tu mtaji wa CCM wakati wa uchaguzi na baada ya hapo wanatemwa kwenye mtaro wa maji machafu kama bigG.
 
Kumbe jamaa passport aliyonayo ni ya kidilomasia na amepewa na Museveni mwenyewe na ni balozi wake! Baada ya kuinyang'anya akamshinikiza hampi passport mpaka afanye show next sunday,

Aibu sana kwa sanaa yetu nchini! Chamilion ameshapaa asubuhi leo na alikuwa show ya MTN jana ya 20USD! Wanasheria walishafika hapa tz tangu jana kusimamia maslahi yake!

mkuu vipi? HAPO KWENYE RED NI SAWA?
 
Niko gizani. Je kuwekwa kizuizini na kuwekwa ndani inamaanisha kitu kile kile?
 
Na kama Shigongo kweli hamjui Manager wa Chamelione ni ajabu na aibu, staa kama yeye, wafanyakazi wake wana Udaku kibao, wanashindwa kumweleza Boss wao kuwa Manager wa Chamelione ni nani?!

What we do normally talk alot about who we are...inawezekana hamjui maana inategemea yeye anataka kupata nini hasa...pengine udaku na udaku una namna yake ya kuupata.
 
GAZETI LA IJUMAA-shigongo atapeliwa dola 3500 kampala
 
Huyu Shigongo toka ajiunge na chama cha wadhaifu nae amekuwa na akili dhaifu kweli kweli.....mie hata simuhurumii!
 
Huyu Shigongo toka ajiunge na chama cha wadhaifu nae amekuwa na akili dhaifu kweli kweli.....mie hata simuhurumii!
Muonee huruma bwana, nyie kina dada ndio wadau wake wakubwa na magazeti yake yanayotajwa kuwa ni magazeti pendwa nchini!
 
wamezoea kupelekesha wasanii wa bongo eeeeh imekula kwake.........
 
Back
Top Bottom