Erick Shigongo: Hali ya maisha imekuwa ngumu mtaani

kaza mkanda waambie na wananchi jimboni waongeze juhudi shambani msimu huu muhimu sana wa kilimo πŸ’

R.I.P Laigwanan comrade ENL
 
Unataka Watawala wakugawie pesa? Sema unataka wafanyaje?
Watekeleze majukumu yao inavyotakiwa, hali ya maisha ya mwananchi wa chini itabadilika.

Vipi unajua majukumu ya serikali?Kama unajua vizuri, basi hauwezi kumuuliza jamaa hilo swali.
 
Kama majukumu yapi hayo ambayo hawajatekeleza yanapelekea maisha Yako kuwa magumu?
 
Unataka Watawala wakugawie pesa? Sema unataka wafanyaje?
Nina Kisaloni hakuna Umeme nikafunga nikanunua Bodaboda Mafuta bei juu.

Bei za Vyakula hazishikiki nina Familia na Watoto nasomesha nk.

Au wewe ni mnufaika wa hii System?

CHADEMA imetuahidi Watanzania kuwa itabadilisha mambo.
 
Kama bei Juu Kwa nini wewe usioandishe bei kulingana na gharama za uendeshaji?

Ndio Mimi ni mnufaika maana nalima na wastani wa gunia la mahindi mfano ni 50,000 ,ulitaka liuzwe 30,000 Ili wewe wa mjini unufaike Mimi nife?
 
Hali ni ngumu msishangae kukatokea Revolt sasa hivi huku Temeke Wananchi wanashindia mlo mmoja tena wa kwato za kuku.
Kwato za Kuku
πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ€”
 
Labda CHADEMA kitatutoa kwenye hali hii ya DHIKI huku Viongozi wa Serikali ya CCM wakipora Nchi bila HURUMAπŸ‘ˆ
 
Labda CHADEMA kitatutoa kwenye hali hii ya DHIKI huku Viongozi wa Serikali ya CCM wakipora Nchi bila HURUMA[emoji118]
Sijui ni kwanini ila mimi naona hakutakuwa na mabadiliko yoyote, wote walewale. Chupi mpya tako la zamani. Viongozi wa Afrika hawatofautiani sio upinzani sio chama tawala ni vile tu hawajapata nafasi!!
 
Mimi NAAMINI πŸ‘ˆ CHADEMA watatupatia KATIBA MPYA na TUME HURU na Watatubadilishia huu mfumo kulambano Matako (ashakum si matusi) na kupata TEUZI nina imani Watatujengea Taasisi Imara nk.

CHADEMA wako flexible wanaweza hata kuruhusu Serikali ya MSETO ili kuwachukua wale Wapinzani kutoka CCM na ACT kwasaba lengo ni kuijenga NCHI YETU SOTEπŸ‘ˆ
 
Hali ni ngumu msishangae kukatokea Revolt sasa hivi huku Temeke Wananchi wanashindia mlo mmoja tena wa kwato za kuku.
Kwato za Kuku
πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ€”
Wanafanya nini huko Temeke, warudi kijijini wakalime wapate chakula wale, ardhi ya kilimo bado ni kubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…