Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nchi ina utajiri mwingi ila baadhi ndio wanaiba na kuimalizaJamaa alimwambia mwenzie unalala njaa huku una mkanda wa ngozi
Si uchemshe unywe supu
Ni lini maisha yakikuwaga rahisi?"Watanzania hawana pesa mfukoni, Watanzania hawana pesa ya kununua, watu hawawezi kuendesha maisha, wachumi watakuwa wananielewa (mimi sio mchumi) nimesoma mahali hali ya mtu kuwa na mahitaji lakini hana pesa na naliongelea kwa sababu ni Wizara ya Viwanda na Biashara, Wizara ambayo inaratibu biashara katika Taifa letu, Mheshimiwa Mwenyekiti nikupe kwanza taswira ya hali yetu ya sasa kama Taifa, pato la Taifa linaongezeka, pato la kila mwananchi mmoja mmoja (per capital income) inaongezeka, balance of trade kati ya Tanzania na Kenya, Tanzania inauza zaidi Kenya kuliko Kenya wanavyouza Tanzania, shilingi ya Tanzania inaimarika kuliko shilingi Kenya, ni kweli zamani tulikuwa tunabadilisha shilingi ya Kenya kwa shilingi elfu 21 leo hii ni shilingi 15, ina maana shilingi yetu inaimarika licha ya uwepo wa UVIKO-19, vita vya Ukraine nk" -Shigongo
"Mheshimiwa Mwenyekiti hilo lipo kwenye vitabu, nikiwaeleza wananchi wa Buchosa kwamba per capital income imeongezeka, nikiwaeleza wananchi wa Buchosa kwamba GDP imeongezeka wananiambia GDP ndio nini wakat hawana kitu mfukoni, sina pesa mfukoni GDP ni kitu gani, tumeshindwa kushusha uchumi kutoka juu kwenda kwenye meza ya mwananchi wa kawaida, Mheshimiwa Mwenyekiti kwa nini tuko hapa?, tuko hapa kwa sababu ya vita nilizozitaja, tuko hapa kwa sababu ambazo awamu ya Tano (5) iliyafanya, awamu ya tano ilikuwa awamu ya kuthubutu, iliingia kwenye miradi mikubwa mikubwa ambayo si jambo baya, lakini hii maana yake ni kwamba mapato yakazidiwa na matumizi, certificate ya Bwawa ikiiva lazima Mwigulu achanganyikiwe" -Shigongo
"Mheshimiwa Mwenyekiti ndio hali tuliyonayo nyie wote niashahidi watu wanalalamika maisha ni magumu hawana pesa ya kununua, watu wanasitisha maisha yao kwaa sababu maisha ni magumu sana huko mtaani lakini, lakini bado magonjwa ya akili yanaongezeka, maisha yamekuwa magumu" -Shigongo
"Sekta za uchumi za nchi hii lazima zichangie pato la Taifa, hazichangii Mheshimiwa Mwenyekiti, agriculture (27%), tourisma imepanda kidogo, mining (10%), fishing (1.8%) Taifa letu ni tajiri mno sekta hazichangii, tunataka sekta za uchumi za nchi hii zichangie pato la Taifa ili mwisho wa siku kapu likijaa tupunguze hata kodi zetu, hakuna ubaya kapu likijaa tukasema VAT iwe 4% kwani shida nini, nikisema hivyo Wafanyabiashara wataenda kulipa kodi, faida zinaongezeka, Mheshimiwa Mwenyekiti watu hawalipi kodi, tax base yetu haifiki milioni sita (6) kwenye Taifa hili"
Mbunge huyo wa jimbo la Buchosa amezungumza hayo akiwa Bungeni, jijini Dodoma Februari 12, 2024
CCM ni janga la taifaNchi ina utajiri mwingi ila baadhi ndio wanaiba na kuimaliza
Huu ni mfano tu wa nchi jamani mnisamehe kwa mshangao huo
Wala hawajali wanajua pa kuwavuruza masikini na kuwafanya wawaaminiCCM ni janga la taifa
Ajiuzulu ubunge aje kitaa tuungane"Watanzania hawana pesa mfukoni, Watanzania hawana pesa ya kununua, watu hawawezi kuendesha maisha, wachumi watakuwa wananielewa (mimi sio mchumi) nimesoma mahali hali ya mtu kuwa na mahitaji lakini hana pesa na naliongelea kwa sababu ni Wizara ya Viwanda na Biashara, Wizara ambayo inaratibu biashara katika Taifa letu, Mheshimiwa Mwenyekiti nikupe kwanza taswira ya hali yetu ya sasa kama Taifa, pato la Taifa linaongezeka, pato la kila mwananchi mmoja mmoja (per capital income) inaongezeka, balance of trade kati ya Tanzania na Kenya, Tanzania inauza zaidi Kenya kuliko Kenya wanavyouza Tanzania, shilingi ya Tanzania inaimarika kuliko shilingi Kenya, ni kweli zamani tulikuwa tunabadilisha shilingi ya Kenya kwa shilingi elfu 21 leo hii ni shilingi 15, ina maana shilingi yetu inaimarika licha ya uwepo wa UVIKO-19, vita vya Ukraine nk" -Shigongo
"Mheshimiwa Mwenyekiti hilo lipo kwenye vitabu, nikiwaeleza wananchi wa Buchosa kwamba per capital income imeongezeka, nikiwaeleza wananchi wa Buchosa kwamba GDP imeongezeka wananiambia GDP ndio nini wakat hawana kitu mfukoni, sina pesa mfukoni GDP ni kitu gani, tumeshindwa kushusha uchumi kutoka juu kwenda kwenye meza ya mwananchi wa kawaida, Mheshimiwa Mwenyekiti kwa nini tuko hapa?, tuko hapa kwa sababu ya vita nilizozitaja, tuko hapa kwa sababu ambazo awamu ya Tano (5) iliyafanya, awamu ya tano ilikuwa awamu ya kuthubutu, iliingia kwenye miradi mikubwa mikubwa ambayo si jambo baya, lakini hii maana yake ni kwamba mapato yakazidiwa na matumizi, certificate ya Bwawa ikiiva lazima Mwigulu achanganyikiwe" -Shigongo
"Mheshimiwa Mwenyekiti ndio hali tuliyonayo nyie wote niashahidi watu wanalalamika maisha ni magumu hawana pesa ya kununua, watu wanasitisha maisha yao kwaa sababu maisha ni magumu sana huko mtaani lakini, lakini bado magonjwa ya akili yanaongezeka, maisha yamekuwa magumu" -Shigongo
"Sekta za uchumi za nchi hii lazima zichangie pato la Taifa, hazichangii Mheshimiwa Mwenyekiti, agriculture (27%), tourisma imepanda kidogo, mining (10%), fishing (1.8%) Taifa letu ni tajiri mno sekta hazichangii, tunataka sekta za uchumi za nchi hii zichangie pato la Taifa ili mwisho wa siku kapu likijaa tupunguze hata kodi zetu, hakuna ubaya kapu likijaa tukasema VAT iwe 4% kwani shida nini, nikisema hivyo Wafanyabiashara wataenda kulipa kodi, faida zinaongezeka, Mheshimiwa Mwenyekiti watu hawalipi kodi, tax base yetu haifiki milioni sita (6) kwenye Taifa hili"
Mbunge huyo wa jimbo la Buchosa amezungumza hayo akiwa Bungeni, jijini Dodoma Februari 12, 2024
Ni kiazi huyo mtu sio wa kupoteza muda kujibishana naye.Lucas mwashambwa atakwambia mamilioni ya watanzania wame neemeka na uongozi shupavu wa mama Samia...[emoji1]
Yani huyu bwana mwashambwa hata petroli iuzwe lita moja elfu 20 bado atasema mama anaupiga mwingi