Erick Shigongo: Hali ya maisha imekuwa ngumu mtaani


👆Hali ilivyo Nchini Wananchi wanashindia MLO MMOJA WA MIGUU YA KUKU na Raisi wetu amekuwa "KIGULU NA NJIA" Mfumuko wa BEI umemshinda UMEME umemshinda.
 
The problem will begin after election
 
Nimekumbuka clip ya juzi yule jamaa wa kule Nyamongo alivyokataliwa wazi wazi sasa Shigongo nae anacheza beat ile ile.

ccm ndo shida hii nchi wala mchawi asitafutwe!

Mama anasifiwa tu ila kwa ujumla nchi imemshinda!
 
Ni lini maisha yakikuwaga rahisi?
 
Ngoja kwanza tuagize ndege watawala wasipate shida na zile V8 saba zilizopata ajali!
 
CCM ni janga la taifa
Wala hawajali wanajua pa kuwavuruza masikini na kuwafanya wawaamini
Eti mtu anazunguka nchi kwa mabilioni na umeme hakuna kila leo
Halafu mtu anajitokeza na kusema bila aibu eti transfoma 80 zimeibiwa seriously Dunia ya leo hata ng'ombe naweza kumuwekea chip nikampata itakuwa vyuma
Wanaiba ya ya kwanza kimya ya pili kimya
Eti ndio sababu hizi

Hawa ni zaidi ya laana
 
Ajiuzulu ubunge aje kitaa tuungane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…