Abuu Kauthar
JF-Expert Member
- Jul 10, 2011
- 4,296
- 6,492
Dogo kacheza jumla ya dakika 47 afu ana magoli 5. Game ya kwanza kaingia dakika ya 69 kaweka tatu.
Machine.
Sent using Jamii Forums mobile app
VIce versa is true.Man u walimkataa dogo leo wanamtaka ighalo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Dogo hawezi kwenda Man U, captain wao man u ( Roy Keane) alimuumiza Baba yake mzazi ( alf Inge haaland) makusudi Na kushindwa kucheza mpira na kuamua kustaafu
Uefa ipi na ameshatolewa tupo naye huku Europa?Basi utashangaa Mzee conte anachukua ndoo ya UEFA na wazee kibaooo yaani mpira hauna adabu
Man U wangemchukua ili iwe faini au malipoDogo hawezi kwenda Man U, captain wao man u ( Roy Keane) alimuumiza Baba yake mzazi ( alf Inge haaland) makusudi Na kushindwa kucheza mpira na kuamua kustaafu
kHawezi kukubali