Erling Braut Håland

Erling Braut Håland

Dogo hawezi kwenda Man U, captain wao man u ( Roy Keane) alimuumiza Baba yake mzazi ( alf Inge haaland) makusudi Na kushindwa kucheza mpira na kuamua kustaafu

Lakini mbona baada ya pale aliendea kucheza baada yake?
 
Basi utashangaa Mzee conte anachukua ndoo ya UEFA na wazee kibaooo yaani mpira hauna adabu
 
Dortmund, miaka nenda miaka rudi,ina hazina ya viungo. Kila mshambuliaji anaweza kung'ara pale. Ila dogo anaweza!
 
Back
Top Bottom