Abuu Kauthar
JF-Expert Member
- Jul 10, 2011
- 4,296
- 6,492
Huyu dogo kwenda dortmund mechi 2 goli 5 tayar kaweka kambani.
Mechi ya kwanza goal 3 (hat trick) mechi ya pili jana kamba mbili safi. Man u mnafeli wapi?
Uzi tayari
Mechi ya kwanza goal 3 (hat trick) mechi ya pili jana kamba mbili safi. Man u mnafeli wapi?
Uzi tayari