johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kwahiyo Diaklo yuko Chadema?Anthony Diallo mwaka 2015 Magufuli akiwa Nyamagana alimuapia kuwa atamnyanyua kibiashara.
Mwaka 2017 TRA wakamletea madai ya kodi ya Bilioni 5!
Sahara media ikapotea!
Mwaka 2020 hata Magufuli alipokuwa Mwanza kwenye kampeni hakutaja jina lake!
Kwahiyo Diaklo yuko Chadema?
Hakika mkuu!Hilo ndio tatizo la media karibu zote za bongo. Katika mada nyingi huwa wanaita watu wa kawaida wasio na taaluma husika ili mradi kipindi kiende hewani.
Nashauri wajaribu kusikikiza na kuangalia media za nje walau watajifunza kitu..maana lengi sio kurusha kipindi pekee bali wananchi waelewe mada husika.
Niliangalia kipindi wale hawkidhi kuitwa wachambuzi. Sijui wanasomea au ni wao tu wsnsjipschika majina makubwa.Hilo ndio tatizo la media karibu zote za bongo. Katika mada nyingi huwa wanaita watu wa kawaida wasio na taaluma husika ili mradi kipindi kiende hewani.
Nashauri wajaribu kusikikiza na kuangalia media za nje walau watajifunza kitu..maana lengi sio kurusha kipindi pekee bali wananchi waelewe mada husika.
Anaitwa nani huyo? [emoji115]Kwahiyo Diaklo yuko Chadema?
Mkuu, naona umeenda nje ya mstari wa lengo la mleta uzi huu!Anthony Diallo mwaka 2015 Magufuli akiwa Nyamagana alimuapia kuwa atamnyanyua kibiashara.
Mwaka 2017 TRA wakamletea madai ya kodi ya Bilioni 5!
Sahara media ikapotea!
Mwaka 2020 hata Magufuli alipokuwa Mwanza kwenye kampeni hakutaja jina lake!
Ahsante mkuu, Ernest alikuwa waziri enzi za awamu ya 3 nimechanganya.Sawa,ila jamaa anaitwa aloyce Nyanda sio Ernest.
Tukirudi on point,Hao wachambuzi huwa wanaona media ndio sehem yawao kutafta teuzi
DiakloAnaitwa nani huyo? [emoji115]