Doctor Mama Amon
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 2,089
- 2,725
Yaani! ni kituko cha karne!Wacha waparuane
changamoto kubwa , ila wacha inyeshe tujue panapovujaYaani! Ni kituko cha karne!
ZIMEFIKAchangamoto kubwa , ila wacha inyeshe tujue panapovuja
muhum msalimie amon
Waache wafu wazikane wenyewe!changamoto kubwa , ila wacha inyeshe tujue panapovuja
muhum msalimie amon
Kumbe!Team Gwajima wapo kazini.
Huoni Pole pole naye kasnza kuandika makala Siku hizi za kuuma na kupulizia.
Jambo gani?Labda alitishwa na "wenye jambo lao", ambao sio lazima wawe watu wa hayati Magufuli.
Kuelekea 2022 uchaguzi wa ndani ccm then 2025Team Gwajima wapo kazini.
Huoni Pole pole naye kasnza kuandika makala Siku hizi za kuuma na kupulizia.
DahHuyu dada wa Taifa anachezewa sana na Wasukuma.
Yuko bize na MBOWE kumbe maadui zake hatari ni wale anaokula nao meza moja, huku wakigonganisha glass zao