TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
"Uhuru" imekuwa na nguvu kuliko "Mwanagaza"? Inastua kidogo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angalia BBC walivyoandika kipengele hicho cha mahojiano..."Uhuru" imekuwa na nguvu kuliko "Mwanagaza"? Inastua kidogo.
Asante sana! Lakini, najiuliza kwamba maamuzi ya Chama pia na nafsi yake haina utashi juu ya jambo hilo kwa sasa!? Ukizingatia binadamu tuna huluka ya kujiwekea mipango ya muda mfupi na muda mrefu huku tukijua Mungu ndiye muamuzi wa mwisho.
Hata mimi naona kuna kity wanaplan kukifanya sasa wametumia gia ya gazeti lao, ccm ni wahuniHii kama sio movie tunachezewa na CCM.
Huko mitaani hii habari imepokelewa vipi? Labda tuanzie hapoHata mimi naona kuna kity wanaplan kukifanya sasa wametumia gia ya gazeti lao, ccm ni wahuni
Sijafatilia mtaani, nilikua porini, ngoja leo nipite vijiwe kadhaa nione upepo umekaajeHuko mitaani hii habari imepokelewa vipi? Labda tuanzie hapo
Umeona wapi?Hata mimi naona kuna kity wanaplan kukifanya sasa wametumia gia ya gazeti lao, ccm ni wahuni
Kwa mshangao!Huko mitaani hii habari imepokelewa vipi? Labda tuanzie hapo
Tafsiri yake ni kuwa kama hana wazo hilo, kwa sasa anafanya nini? Au wazo halipo kwa sasa? Je, kwli haya hayapo kwenye clip ya BBC? Halafu, sakata hili linaonesha nia anayo, ingawaje sioni ubaya mtu kuwa na nia hiyo!View attachment 1889313
Ernest Sungura, Mkurugenzi Mtendaji wa Uhuru Communications aliyesimamishwa
Ernest Samson Sungura ni Mkurugenzi Mtendaji wa Uhuru Communications aliyesimamishwa kazi ili kupisha uchunguzi wa kosa la gazeti la Uhuru kumlisha maneno Raois Samia. Toleo lipo hapa chini.
Sungura ni miongoni mwa watu wachache makini ambao nimewahi kuona, tangu enzi zile akiwa Mkurugenzi wa Tanzania Media Foundation (TMF).
Nijuavyo mie, Sungura asingeweza kushindwa kuona kosa hilo lililiofanywa na gazeti la uhuru. Kulitokea nini hasa?
Ni vigumu kuacha kuamini tuhuma kwamba ametumiwa na ndugu zake maarufu kama sukuma gang!
Itabidi afanye kazi kubwa kujitetea...
View attachment 1889305
Ukisoma stori ndani iko sawa.Tafsiri yake ni kuwa kama hana wazo hilo, kwa sasa anafanya nini? Au wazo halipo kwa sasa? Je, kwli haya hayapo kwenye clip ya BBC? Halafu, sakata hili linaonesha nia anayo, ingawaje sioni ubaya mtu kuwa na nia hiyo!
Vetting iliyompata jpm ndyo iliyompata ssh kuwa vp kama hafai basi wote hawakufaa kuwa marais wa nchi hiiBibi Chokochoko urais/urahisi alipata kwa bahati mbaya. Huyu hata udiwani hafai.
Kikwete alisema yeye ndio aliingia na jina la Magufuli mfukoni. Ulisikiliza hotuba yake ya Chato?Vetting iliyompata jpm ndyo iliyompata ssh kuwa vp kama hafai basi wote hawakufaa kuwa marais wa nchi hii
Huoni kama wamempa kazi mama kuwashawishi watu kumuunga mkono agombea tena 2025?Kwa mshangao!
Watu wanasema Dah Mama tayari kakata tamaa, yaani!
Sungura timu wamechemka sana!
Sina wasiwasi kwamba kauli hii ilitolewa lkn kwenye mahojiano yake na Kikeke ila ilihaririwa huku yeye akikimbilia kuiandika. Wenyewe huiita scoop.View attachment 1889313
Ernest Sungura, Mkurugenzi Mtendaji wa Uhuru Communications aliyesimamishwa
Ernest Samson Sungura ni Mkurugenzi Mtendaji wa Uhuru Communications aliyesimamishwa kazi ili kupisha uchunguzi wa kosa la gazeti la Uhuru kumlisha maneno Raois Samia. Toleo lipo hapa chini.
Sungura ni miongoni mwa watu wachache makini ambao nimewahi kuona, tangu enzi zile akiwa Mkurugenzi wa Tanzania Media Foundation (TMF).
Nijuavyo mie, Sungura asingeweza kushindwa kuona kosa hilo lililiofanywa na gazeti la uhuru. Kulitokea nini hasa?
Ni vigumu kuacha kuamini tuhuma kwamba ametumiwa na ndugu zake maarufu kama sukuma gang!
Itabidi afanye kazi kubwa kujitetea...
View attachment 1889305
Ameweka pamba kwenye masikioHuyu dada wa Taifa anachezewa sana na Wasukuma.
Yuko bize na MBOWE kumbe maadui zake hatari ni wale anaokula nao meza moja, huku wakigonganisha glass zao