Ernest Sungura na Madudu ya gazeti la Uhuru: Kulikoni?

Huu mtego baraza la habari wamejaa kiboya sana, kufungiwa na wakasisitiza adhabu watetezi wa vyombo vya habari wamejichanganya

Sio ajabu hii ndio strategy ya mama kuelekea kuviminya na wakija kuuliza atatoa mfano wa alikishughulikia chombo cha habari kinachomilikiwa na chama chake mwenyewe.

Nimemsikiliza Balile jana nkasema huku ni kujichanganya, walipaswa kulitetea hili gazeti kwa kwenda mbali keenye content ya habari si kichwa cha habari wangesema hata nibtyping error basi.

Wanaharakati wa habari mmechemka sana
Mama anazidi kuupiga mwingi.
 
Acha laana ya uchafuzi wa 28/10/2020 iwatafune.
 
Sasa ni rasmi vita kati ya Sukuma gang na mshika fedha wa Kinyiramba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…