Ernest Sungura: Ulinzi wa kweli wa mwandishi wa habari ni kusema ukweli

Ernest Sungura: Ulinzi wa kweli wa mwandishi wa habari ni kusema ukweli

JamiiCheck

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2023
Posts
245
Reaction score
267
Ujumbe wa Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania (MCT), Ernest Sungura, alioutoa Septemba 18, 2025 jijini Dodoma wakati akifungua mkutano wa majadiliano baina ya MCT na waandishi wa habari, maafisa wa idara na mamlaka za serikali, unakumbusha jukumu la waandishi wa habari katika kusimamia ukweli jambo litalodhibiti Upotoshaji na kuwaweka waandishi salama.
‎
‎“Jiokoe wewe mwenyewe kutoka kwenye mazingira hatarishi kwa kuusema ukweli, kuandika ukweli na kutangaza ukweli. Huyo ndiye mlinzi wako wa kwanza, ili hata ukienda kaburini useme kinga yangu ya kwanza ilikuwa ukweli,” alisema Sungura.

 
Back
Top Bottom