Escrow: Je, Watanzania ni ignorant au tumelogwa? Tuache cherry-picking kutafuta Mbuzi wa Kafara!

Nasubiria uchaguzi wa serikali za mitaa.
 
Nimesoma mahali kuhusu maamuzi ya Bunge kuhusu escrow,

Naunga mkono hoja!, kuwa ni upuuzi!. Kwenye mada hii, nimesema Bunge limefanya "cherry picking" kwa pinpointing fingers kwa waliopewa sadaka na JR tuu kupitia Mkombozi bank, jee waliopewa sadaka na PAP kupitia Stanbic Bank ni kina nani na kwa nini hawatajatwa?!. Vipi kuhusu waliopewa sadaka kubwa kubwa toka account ya VIP iliyoko Uholanzi?, ambao hawa asante zao ni kubwa kubwa na zimetumwa moja kwa moja kwenye account zao za Credit Sussie!, jee mnawajua hawa ni kina nani?, kwa nini Bunge limewaacha?!.

Mimi bado nasisitiza, escrow sio fedha za umma!, JR amefanya biashara halali ya kuuza hisa zake, na ametumia fedha hizo as he pleases kuzigawa kama sadaka ya shukrani kwa watu mbalimbali waliomsaidia kwa kadri walivyomsaidia!.

Pasco
 
Pasco Umekugusa Ninapopawaza Daily Tatzo Letu Kuu Ni IGNORANCE.
 
Last edited by a moderator:
Nafanya tuu mapitio.

Pasco
 

vyovyyote ilivyo mm ni kama nyerere naamini kwenye ushahidi wa kimazingira katika nchi hii hakuna biashara ya halali utakayofanya ukaweza kutoa mabilioni,bilioni km shukrani na ww pasco nakuamini so sometym na ww usitumie makalio kufikiria
 
Pasco watu kama Nyani ngubu ndio wapuuzi wanaoiweka nchi hapa tulipo! badala ya kujadili hoja lenyewe linaleta mataputapu ya kwao. tusonge mbele tuachane na mijitu kama hii
 
Mkuu Bongolala acha urongo kuisongizia CCM. CCM ni chama safi kinafanya siasa safi.

Pasco
Waliobeba pesa katika magunia ni wa chama gani?waliohojiwa tume ya maadili chama gani?aliyesema pesa sii za serikali, ni haki kulipwa PAP ni nani kama sii mwenyekiti ccm?jee ujinga wa watanzania hausababishwi na elimu mbovu itolewayo na serikali ya ccm?
Pasco
 
umemgombeza.........
 
Nimelikumbuka hili bandiko, jinsi Watanzania tunavyopenda kushabikia matokea bila kujiuliza Chanzo, na haswa pale inapotokea kumepatikana mbuzi au kondoo wa kafarhaoa kuchinjwa!. Kuna wengi wanadhani Prof. Muhongo ndie mhusika wa hili la mchanga wa dhahabu, kumbe masikini wa watu, yeye ni matokeo tuu na sio chanzo!, kama Watanzania hatutabadilika kwa namna tunavyo deal na matatizo yetu kwa kujikita kwenye matokeo tuu bila kudeal na chanzo, tutaendelea kupigwa kila uchao!.

Paskali
 
Mungu bariki, hatimaye hii ignorance sasa ndio inaanza kutotoka, maswali haya yatapata majibu!.

Paskali
 
Huu uzi JPM hajauona? Naamini huwa anapitia huku au wasaidizi wake huwa wanapita humu
 
Viongozi wetu ni waroho wa Madaraka ili hali wakijua 'upstars they are empty' Hawataki hata mabadiliko ya kifikra
Wanauwezo wa kusababisha wabunge wetu wawe vibogoyo wakisubiri kukaushwa mate inatosha kusema tumerogwa na ailiye turoga ameshakufa Lakini nawambieni kuna siku aliye lala ataamka na akiamka 'Watalia na kusaga meno'They will not fool us all the time,This is a changed generation with tecnologies.
 
Bwana Mayalla: I never thought you are a genius but I rated you higher than this drivel. Unatuita wajinga kwa sababu mbili tu: kwa kuichagua CCM huku wameshindwa kuondoa naadaui wetu UJINGA MARADHI na UMASKINI tangu enzi za ukoloni. Kosa lako kubwa ni kudhani kuwa kuna Watanzania, wapiga kura, upande huu; na kuna CCM upande ule. CCM ni watanzania hawohawo; they come and go, they die, more are born, ad infinetum. CCM siyo jiwe litokalo mbinguni, ni sisi hawahawa. Tubapochagua viongozi tunaongozwa na sera zao na jinsi wanavyojinadi. Upinzani upo tangu enzi za Uhuru kulikuwa na Congress, na AMNUT, baadaye wamekuja CUF na CHADEMA na NCCR nk. Na hawa nao na sisi hawahawa; na shida zetu MARADHI UJINGA na UMASKINI ni yale yale yako palepale. Kama akili yako ibakutuma tuchague CUF au CHADENA au NCCR eti kwa sababu tu hatujawachagua ni sawa na kumwambia mgonjwa anywe sumu ili apo e maradhi ya muda mrefu. Huwaoni CUF wanataka kuvunja Muungano? Tuwaonje? Unawaona CHADEMA ni wakabila, wa sehemu? Unaona "tuwajaribu" kwa sababu tu ya ugeni? Dissappointed.
 
Hatimaye amepatikana mganga kutuagua jinsi tulivyo logwa!.

P.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…