Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Wakuu nimeona baadhi ya simu zinakuwa na sehemu ya SIM na eSIM. ni sawa na hizi zenye dual SIM? Line za eSIM ni kitu gani. Tofauti yake na line za kawaida nini? Unaweza kuzitumia Bongo? Natanguliza shukrani.