eSIM ni kitu gani? nini tofauti yake na SIM(Line za kawaida)?

eSIM ni kitu gani? nini tofauti yake na SIM(Line za kawaida)?

Mkuu kipindi hicho nilikuwa naona tu wanaelekezana uende MAKAO MAKUU sasa sijui walifanikiwa au ilikuaje ila nakumbuka miaka hiyo HataTTCL walitoaga simu za AINA hiyo hazikuwa na sehemu ya kuweka laini
Ilitokeag kuna mtu alikiokotaga kimeunganishwa na TTCL kila tukiatafuta tutie laini wapi JAMAA akiwasha tu kinapigwa na mwenyewe mpk akairudisha

Mimi nimeongelea kuwajuza kwamba hiyo mifumo sio mipya ni tangu zamani
Hiyo story nilokupigia ni mwaka 2004 au 2006 km sikosei sema sikuwa najua kama ndo inaitwa Esim ila kuanza kuiona nilianza kuiona kitambo sana

Kuna mdau uko juu katoa ufafanuzi kuwa unaenda TIGO au VODA wanakufanyia configuration nadhani itakuwa hivyo
Mm sikuwahi kumiliki simu ya aina hiyo na ni miaka mingi sana hata 15 inapita tangu mara ya mwisho nione simu ya hvyo
nilivyoona hii thread ndio nikakumbuka
Unaongelea CDMA
 
Hakuna huduma ya eSIM Tanzania,wala haijawahi kuwepo. Nimeenda tigo, Vodacom na Airtel na Samsung yenye line moja na esim nimeambiwa hivyo
Anaongelea CDMA ambayo TTCL aliikumbatia mwisho kampuni ikafa maana makampuni mengine yalikuja na teknolojia mpya
 
IMG_0158.png

Kama hiyo
 
Airtel Tanzania wamekuja na huduma ya eSIM
 
Back
Top Bottom