Esma platinumz; Diamond ni ndoto ya kila mwanamke ukinitoa mimi dada yake

Jannatul Firdaus

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2026
Posts
446
Reaction score
1,113
Esma Platnumz ambaye ni dada wa Diamond Platnumz amewatolea uvivu watu wanaoisema vibaya familia yake .

Esma Platnumz amedai kuwa wengi wanaoisema vibaya familia yake huwaga wanatamani kuwa na mahusiano na kaka yake na wengine wanawasaliti mpaka mabwana zao ili wawe na Diamond.
Esma Platnumz amesema kuwa kaka yake ni ndoto ya kila mwanamke ukimtoa yeye hivyo wanawake waache kuiongelea vibaya familia yake wakati wao ndio wanamtaka kaka yake.

''Kuna muda huwa nawaangalia hivi visemaji vya insta utakuta mtu hii sio familia ya kuingia wakati anatamani hata huyo naseeb awe bwana ake hata wa ndotoni tuu kupendaga kufurahisha genge nae eti kionekane kinacomment sasa naanza kublock hivi vyenye vimdomo mdomo juu juu km chuchunge mnikome kuna vingine utakuta vinapiga mafumbo kumbe vilisha pitiwa vikaachagwa vibaya hasira uimalizie familia yake ilikutuma!?.. mnasaliti mpk mabwana zenu kwa tamaa na njaa zenu nawachora tuu wengine. Naseeb ni ndoto ya kila mwanamke ukinitoa mimi dadaake''Ameandika -Esma Platnumz

esma na platnumz.png

esma.png
 
View attachment 3651694
View attachment 3651695
Ina maana kasema mpaka Mama Samia naye anamtamani Diamond awe naye kimapenzi?

Mpaka Mama Diamond naye anamtamani Diamond awe naye kimapenzi? 😂😂😂
 
Esma Platnumz ambaye ni dada wa Diamond Platnumz amewatolea uvivu watu wanaoisema vibaya familia yake .

Esma Platnumz amedai kuwa wengi wanaoisema vibaya familia yake huwaga wanatamani kuwa na mahusiano na kaka yake na wengine wanawasaliti mpaka mabwana zao ili wawe na Diamond.
Esma Platnumz amesema kuwa kaka yake ni ndoto ya kila mwanamke ukimtoa yeye hivyo wanawake waache kuiongelea vibaya familia yake wakati wao ndio wanamtaka kaka yake.

''Kuna muda huwa nawaangalia hivi visemaji vya insta utakuta mtu hii sio familia ya kuingia wakati anatamani hata huyo naseeb awe bwana ake hata wa ndotoni tuu kupendaga kufurahisha genge nae eti kionekane kinacomment sasa naanza kublock hivi vyenye vimdomo mdomo juu juu km chuchunge mnikome kuna vingine utakuta vinapiga mafumbo kumbe vilisha pitiwa vikaachagwa vibaya hasira uimalizie familia yake ilikutuma!?.. mnasaliti mpk mabwana zenu kwa tamaa na njaa zenu nawachora tuu wengine. Naseeb ni ndoto ya kila mwanamke ukinitoa mimi dadaake''Ameandika -Esma Platnumz

View attachment 3651694
View attachment 3651695
Kushakuwa instaforum sasa humu...
 
Kuna mganga mwaka jana alinambia kwamba mchizi sharti mojawapo anamkaanga mother wake kabisa,nikitaka kuiambia nafsi yangu ni uongo jamaa kanipanga nikimwangalia jinsi alivyo serious kulisema hili na connection na watu wakubwa anaowatibia na waganga wenzie wanaoshirikiana kwenye tiba ananishawishi kumuamini lakini sidhani!!
 
Back
Top Bottom