Esma platinumz; Diamond ni ndoto ya kila mwanamke ukinitoa mimi dada yake

Esma platinumz; Diamond ni ndoto ya kila mwanamke ukinitoa mimi dada yake

Ina maana kasema mpaka Mama Samia naye anamtamani Diamond awe naye kimapenzi?

Mpaka Mama Diamond naye anamtamani Diamond awe naye kimapenzi? 😂😂😂
Mpaka hadija kopa akimuona diamond analoa, kwa mujibu wake sio mimi
 
Hivi
romy jones
Iddy santo
Ricardo momo
Queen darleen

Uhusiano wao na diamond umetokea wapi?

Hance Mtanashati
Romy na Mondi ni mtoto wa ma mkubwa na mamdogo(cousins)
Iddy na Ricardo wamechangia baba (ambaye ni marehemu mzee Nyange)
Queen na Mondi sio damu moja ila baba ake Queen mzee Abdul ndie kamlea Mondi hadi ubini anatumia wa huyo baba.
 
Waswahili tuna mambo mengi sana. Sasa yeye anamganda kaka yake ili iweje? Apigwe mjeledi yeye?

Umaskini kikwazo kwa watu wengi sana
Huyu dada kwa tamaa ya mali anatamani yeye ndie aolewe na kaka ake, na ukitaka kujua anamcrushia kaka ake angalia hata wanaume anaotoka nao ni dizaini zile zile za kaka ake, katakua kanamvutia hisia sana kitandani.
 
Kwa hizi comment za wanajf aibu utaona wewe aisee
 
Kwa wanawake hawa wa leo wanaotanguliza njaa,Esma yupo sahihi.

Ndoto zenu si mwanaume mwenye hela?
 
Back
Top Bottom