Jannatul Firdaus
JF-Expert Member
- Aug 4, 2026
- 446
- 1,113
Siyo kakaake wa damu, mama Yao alisema Baba yake naseeb alishafariki, huyo ni mtoto wa michepuko.Katakua kenyewe ndio kanamtamani kaka ake ni vile tu damu.
Siri nyingine za ndani, ukiona mwanamke anamuonea wivu mwanaume ujue kuna Jambo haijalishi ni ndugu ama la.Ingekuwa ndugu wanaoana huyu angetaka kuolewa na kaka ake
Tutapigana humu ππππBinafsi nampenda mama dangote kama Poor Brain mbamizwa kobaa
Ina maana kasema mpaka Mama Samia naye anamtamani Diamond awe naye kimapenzi?Esma Platnumz ambaye ni dada wa Diamond Platnumz amewatolea uvivu watu wanaoisema vibaya familia yake .
Esma Platnumz amedai kuwa wengi wanaoisema vibaya familia yake huwaga wanatamani kuwa na mahusiano na kaka yake na wengine wanawasaliti mpaka mabwana zao ili wawe na Diamond.
Esma Platnumz amesema kuwa kaka yake ni ndoto ya kila mwanamke ukimtoa yeye hivyo wanawake waache kuiongelea vibaya familia yake wakati wao ndio wanamtaka kaka yake.
''Kuna muda huwa nawaangalia hivi visemaji vya insta utakuta mtu hii sio familia ya kuingia wakati anatamani hata huyo naseeb awe bwana ake hata wa ndotoni tuu kupendaga kufurahisha genge nae eti kionekane kinacomment sasa naanza kublock hivi vyenye vimdomo mdomo juu juu km chuchunge mnikome kuna vingine utakuta vinapiga mafumbo kumbe vilisha pitiwa vikaachagwa vibaya hasira uimalizie familia yake ilikutuma!?.. mnasaliti mpk mabwana zenu kwa tamaa na njaa zenu nawachora tuu wengine. Naseeb ni ndoto ya kila mwanamke ukinitoa mimi dadaake''Ameandika -Esma Platnumz
View attachment 3651694
View attachment 3651695
Esma nasikia mtoto mchepuko hivyo na yeye analiwa tu kama .....mama yao ilibdawa zitimieewIna maana kasema mpaka Mama Samia naye anamtamani Diamond awe naye kimapenzi?
Mpaka Mama Diamond naye anamtamani Diamond awe naye kimapenzi? πππ
Kushakuwa instaforum sasa humu...Esma Platnumz ambaye ni dada wa Diamond Platnumz amewatolea uvivu watu wanaoisema vibaya familia yake .
Esma Platnumz amedai kuwa wengi wanaoisema vibaya familia yake huwaga wanatamani kuwa na mahusiano na kaka yake na wengine wanawasaliti mpaka mabwana zao ili wawe na Diamond.
Esma Platnumz amesema kuwa kaka yake ni ndoto ya kila mwanamke ukimtoa yeye hivyo wanawake waache kuiongelea vibaya familia yake wakati wao ndio wanamtaka kaka yake.
''Kuna muda huwa nawaangalia hivi visemaji vya insta utakuta mtu hii sio familia ya kuingia wakati anatamani hata huyo naseeb awe bwana ake hata wa ndotoni tuu kupendaga kufurahisha genge nae eti kionekane kinacomment sasa naanza kublock hivi vyenye vimdomo mdomo juu juu km chuchunge mnikome kuna vingine utakuta vinapiga mafumbo kumbe vilisha pitiwa vikaachagwa vibaya hasira uimalizie familia yake ilikutuma!?.. mnasaliti mpk mabwana zenu kwa tamaa na njaa zenu nawachora tuu wengine. Naseeb ni ndoto ya kila mwanamke ukinitoa mimi dadaake''Ameandika -Esma Platnumz
View attachment 3651694
View attachment 3651695
Halafu mbona kana mdomo mzuri kuliko kaka Yake? Au ni kaka wa kufikiaKatakua kenyewe ndio kanamtamani kaka ake ni vile tu damu.
Njoo nikubamize mpk umsahau AM STORETutapigana humu ππππ