Esma platinumz; Diamond ni ndoto ya kila mwanamke ukinitoa mimi dada yake

Aiseeeee laana sana dada kumtamani mdogo wake mpaka kuja kujisifia kiaina mitandaoni balaa kubwa
 
Mwanaume akiwa na hela ,karibia asilimia zaidi ya themanini ya wanawake wanao mzunguka na kumtaka watavutiwa naye hata Mondi mwenyewe anajua,ndio maana anatembezea rungu. Mali zake kamuandika bi mkubwa wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…