Wote walikuwa wapuuzi tu, ulimbukeni na uswahili.Wanawake, ukikutana na mwanaume anae mdharau mke wake kwa kumshusha thamani, hiyo ni dalili kuwa hata wewe atakudharau.
Alimfahamisha Esma kuwa pesa kwake si tatizo, kumbe pesa nyingi za harusi alikopa kwa marafiki.Ile ndoa ya esma iliyofungwa huku mihela ikimwagika ukumbini imevunjika!!!???????????
Eh kazi kwelikweli [emoji38][emoji38][emoji38]
Ohoooo,basi kajipambanua kibiashara hadi Pakistani ndio huko anakochukua mzigo wa vipodozi na vitenge?Esma anasema wanadaiwa vifuko huko Pakistan havijalipiwa.
Duh!!!Alimfahamisha Esma kuwa pesa kwake si tatizo, kumbe pesa nyingi za harusi alikopa kwa marafiki.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Alimfahamisha Esma kuwa pesa kwake si tatizo, kumbe pesa nyingi za harusi alikopa kwa marafiki.
Hayo anayazungumza baada ya ndoa kuvunjika. Hayawezi kuaminika.Alimfahamisha Esma kuwa pesa kwake si tatizo, kumbe pesa nyingi za harusi alikopa kwa marafiki.
Ninakoona hawa wataishia uadui mkubwa, busara itumike wajifunze kukaa kimya.Hayo anayazungumza baada ya ndoa kuvunjika. Hayawezi kuaminika.
Maana hata Shilole alianza kusema Uchebe ana kibamia.
Hapo huwezi kujua ukweli ni upi.
Binafsi huyo Msizwa nimemsikiliza akihojiwa naona ana msimamo wa kiume, kasema yeye ni mwanaume mambo mengine hataongea.Ninakoona hawa wataishia uadui mkubwa, busara itumike wajifunze kukaa kimya.
FactWanawake, ukikutana na mwanaume anae mdharau mke wake kwa kumshusha thamani, hiyo ni dalili kuwa hata wewe atakudharau.