Esma Platnum amefanya exclusive interview na Zamaradi amefunguka mengi kuhusu ndoa yake iliyopita

Esma Platnum amefanya exclusive interview na Zamaradi amefunguka mengi kuhusu ndoa yake iliyopita

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Esma ame Eleza kwa kirefu jinsi alivyokutanavna aliyekuwa mume wake Msizwa, ndoa ilivyokua, maisha ya ndoa na mipango yake ya baadae.

Esma amekanusha kuwa hakutoa ujauzito wa Msizwa bali alikua wana matatizo ya kutoka Mwana damu, tatizo lililopelekea yeye kulazwa hospitali.

Siku ya harusi mama aliyetambulishwa hakuwa mama yake mzazi Msizwa. Mama wa Msizwa Esma alikuja kumjua baadae akiwa kwenye ndoa.

 
Wanawake, ukikutana na mwanaume anae mdharau mke wake kwa kumshusha thamani, hiyo ni dalili kuwa hata wewe atakudharau.
Wote walikuwa wapuuzi tu, ulimbukeni na uswahili.

Nakumbuka siku ya harusi Diamond alimpongeza kwa kuolewa na mwanaume mwenye hela.

Jambo liliotafsiriwa kuwa ni dongo kwa Petit Man.

Hiyo familia vni malimbukeni sana, No wonder sometimes Mungu anatunyima tunakuwa maskini.
 
Ninakoona hawa wataishia uadui mkubwa, busara itumike wajifunze kukaa kimya.
Binafsi huyo Msizwa nimemsikiliza akihojiwa naona ana msimamo wa kiume, kasema yeye ni mwanaume mambo mengine hataongea.

Na kasema ana wake wawili ( maana yake huyo Esma alikuwa wa 3 )

Lakini kuhusu hiyo familia ni wabwataji sana, so tegemea kusikia mengi.

Kuna interview moja ya Petit Man anasema huyo Esma kwa tabia yake ilivyo ni yeye tu anaamini anawezana naye. Na kilichotokea unaona kabisa kunaweza kuwa na ukweli
 
Ila huyo Msizwa nae maneno meeeengi, usanii mwingiii, janjajanja tuu

Hongera kwake Esma kwa kutumia akili yake sawasawa vinginevyo angempelekea lile bag yule M-Pakistan kule Zanzibar angeweza kuwa na mama wa vibubu segerea

Na zile tuhuma za Mange sio za uongo
 
Back
Top Bottom