Mkuu hao ndy aina ya wauza madawa waliopo miaka hii.
Wengi ni washamba wa maisha na hata huko Pakistan hawapajuwi.
Zamani miaka ya 90 ,,ukiwa muuza madawa lazima Pakistan ufike kwanza,
ukajifunze maisha na siri za kazi.
Hawa vijana wamepata bahati ya kuwajuwa wahindi wanaletewa madawa hadi mlangoni,,
Sasa hawajuwi chochote kuhusu miiko ya kazi.
Na siri zake.
Huyo bwana anajiita msizwa,,Lakini ana jina lake kamili, linalojulikana kote huko south..
Aliamua kuingia kwa asma kwa jina la umaarufu huo,,
Kabla hata watu hawajamjuwa sisi mabaharia siku nyingi tunamchora tu,,na ushamba wake.
Mzans---- msouth Africa raia.
Msizwa--- msouth Africa raia..