Esma Platnum amefanya exclusive interview na Zamaradi amefunguka mengi kuhusu ndoa yake iliyopita

Inawezekana pia Mama kazingua tu kumpiga mzee chenga la mwili ila Diamond mtoto wake
 
Unafananisha viuzamadawa vya bongo na akina elchapo
 
Ukitendwea watu tegemea na wewe kitendewa,Diamond kawamega wangapi ja kuwaacha?,huyu wa kenya kaachwa juzi na mtoto juu,dada zake na diamond kuachwa ni sawa tu,malipo hapa hapa duniani
 
Kabisa mkuu ,

Tena yeye na huyo mama yake,, wote ni washamba wa maisha na ugeni wa pesa.
 
Wanawake tatizo mnapenda sana hela,sometimes hamuangalii wala kuchunguza mtu ana kazi gani.

Huyu inabidi apumzike/ajipe likizo ya mapenzi yule wa kwanza alikuwa chawa,kuwadi na mpenda vitonga,huyu mwingine muongo ,mjanja wa mjini.
Wanawake walipofikia kwa kupenda hela za bwelelee,,,unaweza hata kumfungisha ndoa na mbuzi as long as mbuzi huyo anamiliki fuko la pesa.
 
Kabisa mkuu ,

Tena yeye na huyo mama yake,, wote ni washamba wa maisha na ugeni wa pesa.
Washamba sana, mi nilishasema mamaake mondi ndio mwenye matatizo wala sio yule mzee na mdomo wake mchafu na umalaya ndio uliwatenganisha na mzee Abdul!

Hamna mwanaume mwenye stara na utimamu angeweza ishi na mwanamke malaya na limbukeni af much knows. Yani Esma ni reflection ya mama yake by 100%
 
Uzuzu tu na kiki za mjini mtu unakosaje pride yako do u have to say everything kwa media uyo anekuhoji nani amewahi kumhoji juu ya maisha yake its bcoz she has her iwn pride nyauba ww
Hahahahah
 
HAPA ndipo napomuaminigi MANGE KIMAMBI maana alisema siku ileile kuwa Jamaa Msizwa ni mtu wa Biashara za Pakistan lakini watu wakaona ni wivu tu.
Leo nimeamini Mange ni taasisi na sio mtu kama tunavyomuona.
Vipodozi vya Pakistani😂
 
Mkuu hao ndy aina ya wauza madawa waliopo miaka hii.

Wengi ni washamba wa maisha na hata huko Pakistan hawapajuwi.

Zamani miaka ya 90 ,,ukiwa muuza madawa lazima Pakistan ufike kwanza,
ukajifunze maisha na siri za kazi.

Hawa vijana wamepata bahati ya kuwajuwa wahindi wanaletewa madawa hadi mlangoni,,

Sasa hawajuwi chochote kuhusu miiko ya kazi.
Na siri zake.

Huyo bwana anajiita msizwa,,Lakini ana jina lake kamili, linalojulikana kote huko south..
Aliamua kuingia kwa asma kwa jina la umaarufu huo,,
Kabla hata watu hawajamjuwa sisi mabaharia siku nyingi tunamchora tu,,na ushamba wake.

Mzans---- msouth Africa raia.

Msizwa--- msouth Africa raia..
 
Ndio akome Nani kamtuma afanye shughuli hizo?
Yule sio mumewe tena..angekuwa mume angelifunga bakuli lake sio kumdhalilisha mkewe kwenye media...
Halafu wote ni wanawake wa aina moja,,
Yeye na mama yake ,,,

Wakati asma akibwabwaja hovyo kuhusu x mume wake ,,
Na mama diamond nae anabwabwaja kuhusu mzee Abdul...

Na anapoelekea mwisho atakuja kusema mzee wa watu Jogoo hapandi mtungi.
Yule mama alikuwa akihojiwa na tv fulani,,,du!! si kwa kejeli na dharau zile kwa mzee Abdul.

Hakika wanawake wa aina hizo ni hatari sana kwa kuwa wife material..
 
Huyo msizwa naye mshamba sana mtu wa mitkasi na makamera wapi na wapi?
Alijisemeaga jamaa yangu mmoja dah hizi kazi sahv zimevamiwa especially ilipoingia mambo ya kwenda kuvua na watu kupata samaki wengi wao walikuwa wageni basi hizo vurugu

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Hata wababu zetu walishasema kwamba masikini akipata matako hulia mbwata.

Kweli hawa wakulungwa hawakukosea.
Background yake haikuwa poa
Alipopata tu basi anataka kuishi kwa kuwakomoa na kuwaonesha wengine[emoji23][emoji23][emoji23]

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Hilo mabaharia tunalijuwa siku nyingi,,
Kwamba mzee Abdul alitimuliwa nyumbani kwa mama diamond tandale,,
Baada ya huyo mama kupata marioo msimamia ukucha mwingine.
Huyo mzee wa Abdul amekosa support ya kumtetea mitandaoni ,,sababu hili suala lipo kishabiki zaidi.

Huyo mama ni nuksi tupu..,
 
Na huyo mariooo ni proffesional kwenye fani hiyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unajua kuna watu mjini michongo yao ni kuwa na wamama kuwalea kazi yao ni kupendeza tu
Ukiwaona kama wanafanya kazi benki kutwa wanangaaaa[emoji23][emoji23][emoji23]

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…