Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu mdada anajisahau anafikiri anaweza kupendewa na Kijana kizembekixembe. Usichana wake was over ana watoto kadhaa sasa watu wanakwenda kimaslahiEsma ame Eleza kwa kirefu jinsi alivyokutanavna aliyekuwa mume wake Msizwa, ndoa ilivyokua, maisha ya ndoa na mipango yake ya baadae.
Esma amekanusha kuwa hakutoa ujauzito wa Msizwa bali alikua wana matatizo ya kutoka Mwana damu, tatizo lililopelekea yeye kulazwa hospitali.
Siku ya harusi mama aliyetambulishwa hakuwa mama yake mzazi Msizwa. Mama wa Msizwa Esma alikuja kumjua baadae akiwa kwenye ndoa.
Hii dhana ya kufikiria kuolewa na tajiri utaishi happily ever after mbona imepitwa na wakati.Huyu mdada anajisahau anafikiri anaweza kupendewa na Kijana kizembekixembe. Usichana wake was over ana watoto kadhaa sasa watu wanakwenda kimaslahi
Hata kama ni hasira lakini kwa mtu uliyelala nae kitanda kimoja huwezi kufunguka namna ike na unajua kipindi kitarushwa. Msizwa hata jHAPA ndipo napomuaminigi MANGE KIMAMBI maana alisema siku ileile kuwa Jamaa Msizwa ni mtu wa Biashara za Pakistan lakini watu wakaona ni wivu tu.
Leo nimeamini Mange ni taasisi na sio mtu kama tunavyomuona.
Shida ni kwamba MSIZWA pia anaongea huko kwenye Ma-intavyuu, sasa katika hali hiyo kukaa kimya inamaanisha ni kuthibitisha/kukubaliana na anayoyasema, Mimi nadhani alichofanya ESMA ni sahihi dawa na MSANII ni kuwa Msanii zaidi yake.Hata kama ni hasira lakini kwa mtu uliyelala nae kitanda kimoja huwezi kufunguka namna ike na unajua kipindi kitarushwa. Msizwa hata j
Kama alikwenda kimaslahi u Tandale aliokutana nao hana hamu.
Proposal ya 200m ingetiki hata wewe ungepewa kazi ulishe familia yako hapo KibondemajiIla huyo Msizwa nae maneno meeeengi, usanii mwingiii, janjajanja tuu
Hongera kwake Esma kwa kutumia akili yake sawasawa vinginevyo angempelekea lile bag yule M-Pakistan kule Zanzibar angeweza kuwa na mama wa vibubu segerea
Na zile tuhuma za Mange sio za uongo
Umeandika nini sasa🙄🙄 Au leo umesahau kumeza dawa?Proposal ya 200m ingetiki hata wewe ungepewa kazi ulishe familia yako hapo Kibondemaji
Chuo kikuu n wapi? [emoji23][emoji23][emoji23]Kumbe vi bom kwenda kwa Diamond vilianzia milioni 100-200. Kweli mjini shule, Dar form six.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaahSpeed ya Msizwa ilikua kubwa sana, uncle Shamte anajua kula mdogo mdogo. Sasa yeye hata miezi sita ya ndoa haijafika anataka Diamond awe ana perform Msizwa Lounge.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] duuuuhAnafanya matangazo kwenye account yake ya insta[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Bora hata uchebe tunajua ni fundi magari...lkn uncle hasomeki kabisa
Mange hajawahi kukosea ktk kusema ukweli.HAPA ndipo napomuaminigi MANGE KIMAMBI maana alisema siku ileile kuwa Jamaa Msizwa ni mtu wa Biashara za Pakistan lakini watu wakaona ni wivu tu.
Leo nimeamini Mange ni taasisi na sio mtu kama tunavyomuona.
Namaanisha ukiwa unamponda jamaa uangalie na upande mwingine endapo ingetiki hata wewe ungenufaika pale lounge TMKUmeandika nini sasa🙄🙄 Au leo umesahau kumeza dawa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] heeeh mama na wew huwa unaandika km haya?Umeandika nini sasa[emoji849][emoji849] Au leo umesahau kumeza dawa?
Hueleweki nenda hospital weweNamaanisha ukiwa unamponda jamaa uangalie na upande mwingine endapo ingetiki hata wewe ungenufaika pale lounge TMK
Huyo niliyemjibu nadhani kuna vitu vimeachana kichwani kha![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] heeeh mama na wew huwa unaandika km haya?
Sawa nikuletee na wewe dawa za miezi mingap?Hueleweki nenda hospital wewe
Husband material ndio Msizwa? Au husband material ni huyo anayeoa ili akachote 200m kwa shemeji yake🙄Huyo mwanamke sio wife material. ,,
Mke hawezi kuongea siri za mumewe hadharani.
Hiyo ni taka taka kama taka taka zingine.