Waziri wa Kaskazini
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 7,981
- 17,743
Aisee!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni propaganda tu hizo!Hao huitwa "sleepers".
Sasa kama huyo jamaa ni shushushu wao, alishindwaje kuwatonya Israel juu ya shambolic la Hamas la October 7? Kumbuka Hamas inapewa kila kitu na Iran. Mnawqkuza sana hao Israel na mnatunga uongo mwingi mnoKuna wajinga tukiwashauri waachane na Wayahudi wanatuona kana kwamba sisi ni ma ayatolla yaani ni watu bule na tusiowapenda
Bado huelewi jokes.Soma post # 8
Sijui una elimu gani? Maana unaandika kama bata anaharishaMijamaaa inapotosha sana ohh kamanda alikuwa shushushu la mossad ushaidi umewekwa yupo Iran mala utasikia naibu w Nasrallah nae washapitanae sijui uwongo unalipa kias gani jehova w tz mnakwama wapi kutupa habari z kweli mnashiliki ktk upotoshaji uko ISRAEL ataki ukweli hamas na wana habari awatofautishii kutoa habari ya kipigo eti unamsaidia hamas kamajengo limebutuliwa anataka upige picha mlango tu umevunjika kwengine ole wako uwongo uwongo anajisifia ana maguvu,😩😩 uku hezbollah wanampapasa seem nyet yeye kazuiya habari zisitoke jinsi anavyopapaswa afu utasikia jehova w kigugu kwa mtonga mbogo anakwambia kobaz 0 akili sasa wameshambulia nn akuna kifo uhalibifu akuna kobaz 0 😂 sasa sijui kwahaliii asio n akili nani kobaz au tim jehova wanajitoa akili mana tunajua mtu anapapaswa na anaficha ata vifo asemi wakubwa wao wakifa w jesh asemi tofaut n hezbollah au hamas awa wanasema ata Iran wanasema. nawakumbusha lile shambulizi tukaambiwa kuku tu lkn liliondoka na yule kuku mkubwa wameficha lkn adi Leo ajaonekana tena popote na yule nikimanda mkubwa cheo chake sijui Iran tumfananishe nanani kikamanda!! Uyo mkuu kukiwa na kikao kikubwa na Netanyahu lazima umuone pembeni yake kwaiyo inaonekana msako mkubwa wa makamanda umeanza ndani ya Israel,, uyu kuku Ata ktk list ya wanaotakiwa wafe na Iran uyo kuku mkubwa ayupo umo so washapitanae Makamanda wanawindwa talatibuu n drone lkn ndio ivyo awatosema na jehova wenye akili w tz watawaita kobaz awana akili kisa shambulizi alijauwa unajuaje kama alikuuwa ktk mazingiliwa wanahabari wamewekwa seem moja n hamas ktk sheria y kijesh. KUKU MKUU YUPO KAMA YUPO TUONESHWE kapicha. Ili tujue makamanda wetu waposalama uko Israel ama lah tufaam kuna msako unaendelea kimya kimya hofu imejaa Israel