Esperence waifurahia kutopangwa na simba

Wamesema kwenye tv, simu au kishabiki ulipoona tu wanashangilia.
 
weka ushahidi. maana mikia mnajikuza sana... timu ipigwe magoli 13 mechi 6.. mabingwa watetezi esperence waiogope

unajua mpaka anatwaa ubingwa amekutana na kina nani stage zote.. halafu aogope mkia
Hesabu ukiijua haikusumbui, Simba walicheza na namba ila Vyura nyie Lipuli wanawaogopa??

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Yaani mashabiki walikuwa wanashangilia kutokutana na Simba?? Yaani umeigeuza au unaigeuza Jamii Forums kuwa mtandao wa mipasho? Yaani hujui kuwa JF ni mtandao uliojikita kwenye habari za kina, uchambuzi na hoja za nguvu?? unadhani hapa ni facebook au group la Whatsaap??
 


Cha ajabu mods wamekaa kimya
 
Wakongo watakubishia. Bana Kongo banaoishi Tanzanie biko na mayele pomoni πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…