Esperence waifurahia kutopangwa na simba

Tv ya taifa ya Tunisia, Tunis tv. Jana walionyesha mashaniki wa Esperence wakisheherekea kwenye viunga vya mji wa Tunis baada ya kuambiwa kuwa hawakutani na simba sc ya Tanzania. Wanasema bora wakutane nao kwenye fainali kuliko kipindi hiki.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wamesema kwenye tv, simu au kishabiki ulipoona tu wanashangilia.
 
weka ushahidi. maana mikia mnajikuza sana... timu ipigwe magoli 13 mechi 6.. mabingwa watetezi esperence waiogope

unajua mpaka anatwaa ubingwa amekutana na kina nani stage zote.. halafu aogope mkia
Hesabu ukiijua haikusumbui, Simba walicheza na namba ila Vyura nyie Lipuli wanawaogopa??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tv ya taifa ya Tunisia, Tunis tv. Jana walionyesha mashaniki wa Esperence wakisheherekea kwenye viunga vya mji wa Tunis baada ya kuambiwa kuwa hawakutani na simba sc ya Tanzania. Wanasema bora wakutane nao kwenye fainali kuliko kipindi hiki.

Sent using Jamii Forums mobile app

Yaani mashabiki walikuwa wanashangilia kutokutana na Simba?? Yaani umeigeuza au unaigeuza Jamii Forums kuwa mtandao wa mipasho? Yaani hujui kuwa JF ni mtandao uliojikita kwenye habari za kina, uchambuzi na hoja za nguvu?? unadhani hapa ni facebook au group la Whatsaap??
 
Cha ajabu mods wamekaa kimya
 
Tv ya taifa ya Tunisia, Tunis tv. Jana walionyesha mashaniki wa Esperence wakisheherekea kwenye viunga vya mji wa Tunis baada ya kuambiwa kuwa hawakutani na simba sc ya Tanzania. Wanasema bora wakutane nao kwenye fainali kuliko kipindi hiki.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakongo watakubishia. Bana Kongo banaoishi Tanzanie biko na mayele pomoni 😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom