Unateseka mkuu. Nenda kwenye wesite ya tunis tv utaona hiyo habariYaani mashabiki walikuwa wanashangilia kutokutana na Simba?? Yaani umeigeuza au unaigeuza Jamii Forums kuwa mtandao wa mipasho? Yaani hujui kuwa JF ni mtandao uliojikita kwenye habari za kina, uchambuzi na hoja za nguvu?? unadhani hapa ni facebook au group la Whatsaap??
Unateseka sana. Nakiwekea link subiriUongo mtupu...huoni hata aibu
mods futa huu uzi!
Mpaka nikawa najiuliza hivi simba inatisha kiasi hiki mpaka mabingwa wa africa wanaiogopa. Ila hapa bongo kuna baadhi ya timu wanaidharau simba. Kweli nabii hathaminiwi kwaoTv ya taifa ya Tunisia, Tunis tv. Jana walionyesha mashaniki wa Esperence wakisheherekea kwenye viunga vya mji wa Tunis baada ya kuambiwa kuwa hawakutani na simba sc ya Tanzania. Wanasema bora wakutane nao kwenye fainali kuliko kipindi hiki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Katika timu zilizokua pale kila timu ilikua inaomba dua ipangwe na simba.kwakua unauhakika ukiwa kwako unapata goli nyingi.Tv ya taifa ya Tunisia, Tunis tv. Jana walionyesha mashaniki wa Esperence wakisheherekea kwenye viunga vya mji wa Tunis baada ya kuambiwa kuwa hawakutani na simba sc ya Tanzania. Wanasema bora wakutane nao kwenye fainali kuliko kipindi hiki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Simba 3-0Mazembe
Esperance washangilie kutopewa simba!!!! Unaijuwa Esperance kamanda?? Na ndio club inatisha all africans, tokea michuano hii ianze hawakupoteza game hata moja...mimi ni shabiki wa Wydad Casablanca...but nawapa nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa Esperance.....Note my words!!
Home, Simba 2-1 Tp Mazembe
Away, Tp Mazembe 3-1 Simba
Mara simba kawa nabii hii nchi ndio maana siondoki lolote linaweza kutokeaMpaka nikawa najiuliza hivi simba inatisha kiasi hiki mpaka mabingwa wa africa wanaiogopa. Ila hapa bongo kuna baadhi ya timu wanaidharau simba. Kweli nabii hathaminiwi kwao
Sent using Jamii Forums mobile app