Esperence waifurahia kutopangwa na simba

Esperence waifurahia kutopangwa na simba

Yaani mashabiki walikuwa wanashangilia kutokutana na Simba?? Yaani umeigeuza au unaigeuza Jamii Forums kuwa mtandao wa mipasho? Yaani hujui kuwa JF ni mtandao uliojikita kwenye habari za kina, uchambuzi na hoja za nguvu?? unadhani hapa ni facebook au group la Whatsaap??
Unateseka mkuu. Nenda kwenye wesite ya tunis tv utaona hiyo habari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tv ya taifa ya Tunisia, Tunis tv. Jana walionyesha mashaniki wa Esperence wakisheherekea kwenye viunga vya mji wa Tunis baada ya kuambiwa kuwa hawakutani na simba sc ya Tanzania. Wanasema bora wakutane nao kwenye fainali kuliko kipindi hiki.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mpaka nikawa najiuliza hivi simba inatisha kiasi hiki mpaka mabingwa wa africa wanaiogopa. Ila hapa bongo kuna baadhi ya timu wanaidharau simba. Kweli nabii hathaminiwi kwao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tv ya taifa ya Tunisia, Tunis tv. Jana walionyesha mashaniki wa Esperence wakisheherekea kwenye viunga vya mji wa Tunis baada ya kuambiwa kuwa hawakutani na simba sc ya Tanzania. Wanasema bora wakutane nao kwenye fainali kuliko kipindi hiki.

Sent using Jamii Forums mobile app
Katika timu zilizokua pale kila timu ilikua inaomba dua ipangwe na simba.kwakua unauhakika ukiwa kwako unapata goli nyingi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli shukran ya punda mateke baada ya kuwasogezea nafadi ya kushiriki champions league vyura wameanza kejeli
 
Unateseka sana. Nakiwekea link subiri

Sent using Jamii Forums mobile app

Esperance washangilie kutopewa simba!!!! Unaijuwa Esperance kamanda?? Na ndio club inatisha all africans, tokea michuano hii ianze hawakupoteza game hata moja...mimi ni shabiki wa Wydad Casablanca...but nawapa nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa Esperance.....Note my words!!

Home, Simba 2-1 Tp Mazembe
Away, Tp Mazembe 3-1 Sim
ba
 
Simba 3-0Mazembe

Away

Mazembe 4-1Simba

Simba anafuzu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom