Bueno
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 34,600
- 59,760
Nauliza tu hivi umeshawahi kulala kisha ukaanza kuota kwenye ndoto ukiwa unaona mazingira ni halisi kabisa bila kujua kwamba upo ndotoni ghafla bin vuu ndoto inaanza kuchangamka unajikuta aidha kwa kukasirishwa au kufurahishwa aidha unaanza kuongea katika hali kujitetea au unaanza kucheka bila kujua kwamba Jasusi muda huo unavujisha Data za Siri za kijasusi ambazo hazikupaswa kusikika na mtu wowote wa nje isipokua mtu wa ndani tu yaan wewe mwenyewe Jasusi.
Maana Jasusi unakua unatema Data za kweli zilizopo kwenye mafaili ya Siri na alielala na wewe atakua amesikia kila kitu ulichokizungumza Jasusi ima kwa kuelewa au kutokuelewa kwa kujua au kutokujua unaongea au unaongelea nini ila tambua Jasusi huyo mtu Data zako zote za kijasusi atakua nazo na utakapoamka km yeye pia sio Jasusi km ulivyo wewe lazima atakuuliza Jana ulikua unaongea nini usiku?
Hapo inakubidi ushtuke Jasusi maana umegawa mafaili yenye Data nyeti za sehemu za Siri kwa muhusika asiehusika.
Je! Umewahi kutoa mafaili ya Siri ukiwa usingizini Jasusi ushawahi kuongea au kucheka ukiwa usingizini huku umelala na mtu mwingine?
Kalamu imeisha Wino Jasusi ...