Espionage: Majasusi wa Mossad walivyoiba mkojo wa Rais Hafez Al-Assad wa Syria kwa kutumia choo cha bandia

Espionage: Majasusi wa Mossad walivyoiba mkojo wa Rais Hafez Al-Assad wa Syria kwa kutumia choo cha bandia

Hahahaaaa Jamii forums bhana burudani tosha[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hivi wewe unajua maana ya ESPIONAGE au unapayuka tu?? The Mossad Agents wakitaka mkojo hata wa Magufuli au wa kwako wanaupata sasa hivi kwa malengo wanayotaka wao! Ogopa sana Taifa la WATU WA MUNGU!

Kwa sasa Tanzania wamesharudisha uhusiano na Israel lakini wakti huohuo wanaunga mkono HARAKATI ZA WAPALESTINA, tabia za upopo...! Hapa ndipo mikojo na vinyesi ya watu kama Magufuli inapotafutwa kwa kutumia vyoo bandia ili wapate wanachokita.....!!
Watch out! Ukisikia MOSSAD AGENTS kaa mbali siyo watu wa mchezo mchezo!
 
Jamaa huwa unaumia sana Israel inaposifiwa sijui kwanini?? Ulilazimishwa kumwabudu Mudi ndg yangu??
Agano jipya limeshaclarify kwamba warithi wote wa baraka za Abraham ni waaminio wote..... Hivyo Israel ya sasa sio ''nchi'' bali ni WAAMINIO wote ikimaanisha MATAIFA YOTE YENYE WAAMINIO NI TAIFA LA MUNGU kasome waebrania.

Kingine Israel ya miaka yote huwa wanarudishwa na nabii kwenye nchi yao ya ahadi sasa naomba unisaidie je ni nabii gani ambaye aliwarudisha hawa Ashkenazi huko Israel hii ya sasa???

Kingine Israel ya sasa imefika hapo ilipo kwa msaada wa marekani ukitaka kujua hilo jiulize kivipi wayahudi kabla ya kusaidiwa na wamarekani 1945+ kivipi waliuawa kama wanavyodai Million 6?? na maana kipindi wanauawa hawakuwa taifa la Mungu?? Je marekani ambayo inaaminika inatumia mbinu zote chafu na kishetani kujilimbikizia utajiri leo hii likitumia kufadhili TAIFA LA MUNGU je ni sawa?? Kweli Taifa la Mungu afadhiliwe na nchi inayosupport ushoga,uFreemason na uvamizi wa nchi za watu??

Duh ni vizuri tusiwe na uharaka wa kusupoort mambo tusiyo na uhakika nayo
 
Kuna kitu kikubwa nimejifunza hapa hongera sana mkuu be blessed,[emoji120][emoji120]
Yaweza kua kweli Waarabu ni wasaliti na yaweza pia kua sio kweli; ni hivi, wapo Waisrael wengi sana wenye asili ya Kiarabu na ndio hao ambao Wayahudi huwatumia kwenye shughuli zao, yasemekana Osama Bin Laden alikua ame rekruti Wayahudi wengi sana kwenye kundi lake la Al Qaida akidhani ni Waarabu wenzie kumbe ni Wayahudi, siku anataka kwenda kuipiga Pentagon na world trade center hao hao members wake ambao ni Wayahudi kwa maana ya damu, wakalikisha information kwa Mousad and hence Wayahudi wote waliokua wanafanya kazi kwenye lile jingo la kitega uchumi la WTC hakufa hata mmoja, so may be hao Waarabu wa Jordan tunao walaumu hapa kwamba sio wazalendo, huenda ndio hao hao Waarabu wenye asili ya Kiyahudi and so serikali ya Jordan inajua ni wenzao kumbe ni Wayahudi. Hata ile mission to kill Osama, Wayahudi wengi sana wenye asili hiyo ya kiarabu walihusika sana kwenye ardhi ya Pakistan na hatimae mission was completed. Je, wajua alilikisha information za Misri wakati ule kwenye ile vita ya 6 days of war hadi ndege zote za Misri kupigwa kwenye ardhi yake alikua nani!?
 
Jamaa huwa unaumia sana Israel inaposifiwa sijui kwanini?? Ulilazimishwa kumwabudu Mudi ndg yangu??
Mkuu Sio naumia bali huwa napinga upotoshaji, sio kwa chuki bali kwa ushahidi wa kimaandiko tena ya Biblia.

Ningeomba upitie uzi huu labda unaweza elewa hoja zangu dhidi ya so called TAIFA TEULE!!

 
Ya kweli hayo??


Hapa ni JF where we dare to say the truth only, Mohammaed aliuliwa na mwanamke wa Kiyaudi kutokana na ulafi wake. Alikuwa anapenda kuua wanaume na kubaka wake zao kisha kuwalazimisha wampikie, ndipo wakamuwekea sumu kwenye chakula na kisha kufa baada ya kuugua na kuteseka sana. Wayahudi hawakuamini kuwa yeye alikuwa mtumishi wa Mungu kwa sababu alikuwa muongo, muuwaji, na mbakaji. Wakasema tumuwekee sumu tumuue kama kweli yeye ni mtumishi wa Mungu basi Mungu atamjulisha kuwa hiki chakula kina sumu. Guess what happened. He ate the food without warning toka kwa Mungu kuwa kina sumu na mateso yakamfikia kisha kufa kwa haibu because he was NOT a prophet but self proclaimed kama Gwajima na wenzake isipokuwa Mohammed alikuwa anaua kama humuamini, yaani alilazimisha watu kumuamini.
 
Hapa ni JF where we dare to say the truth only, Mohammaed aliuliwa na mwanamke wa Kiyaudi kutokana na ulafi wake. Alikuwa anapenda kuua wanaume na kubaka wake zao kisha kuwalazimisha wampikie, ndipo wakamuwekea sumu kwenye chakula na kisha kufa baada ya kuugua na kuteseka sana. Wayahudi hawakuamini kuwa yeye alikuwa mtumishi wa Mungu kwa sababu alikuwa muongo, muuwaji, na mbakaji. Wakasema tumuwekee sumu tumuue kama kweli yeye ni mtumishi wa Mungu basi Mungu atamjulisha kuwa hiki chakula kina sumu. Guess what happened. He ate the food without warning toka kwa Mungu kuwa kina sumu na mateso yakamfikia kisha kufa kwa haibu because he was NOT a prophet but self proclaimed kama Gwajima na wenzake isipokuwa Mohammed alikuwa anaua kama humuamini, yaani alilazimisha watu kumuamini.
mmmh
 
Maendeleo hayana c
View attachment 830903
Rais wa zamani wa Syria bwana Hafez Assad (Baba yake na Bashar, rais wa sasa) alikuja kugundua ya kuwa idara ya ujasusi ya Israel (mafundi wa Mossad) walimtengenezea choo cha bandia kwa kutumia yeye tu pale alipoudhuria mazishi ya mfalme Hussein wa Jordan.[/I]

Ilikuwa si rahisi kwa walinzi wa Hafez kuweza kugundua kuwa kulikuwa na njama hiyo ya kuunda choo cha mtego baina na specialists wa mossad kwa kushirikiana na idara ya ujasusi ya Jordan.

Kilichofanya choo kile kuonekana si cha kawaida ni kwamba, bomba la kupitishia uchafu (haja kubwa na ndogo) halikuelekezewa kwenye shimo la choo bali kulikuwa na chombo maalum kama bakuli kubwa kidogo kwa ajili ya kukinga kisha kupeleka maabara kwa uchunguzi maalum.

Dakika chache baada ya rais wa Syria kutumia choo kile cha mtego, lile bakuli la kukingia lililokuwa limejaa mkojo wa Hafez lilikimbizwa chaaaaap mpaka Tel Aviv ambapo pathologists pamoja na biochemists wa Mossad walikuwa wameandaliwa kuufanyia uchunguzi wa kina.

Baada ya uchunguzi kufanyika kilichokuja kugundulika ni kuwa rais Hafez ambaye tayari alikuwa anasumbuliwa na matatizo ya moyo na high blood pressure, kumbe ana magonjwa mengine zaidi ambayo ni cancer pamoja na kisukari, hivyo hatokuwa na muda mrefu sana wa kuishi.

Medical report ilionesha, mbali na magonjwa yaliyokuwa yanamsumbua Hafez, pia dawa alizokuwa akitumia ili kuweza kurefusha maisha yake.

Hafez alikuwa akikaribia ukingoni mwa maisha yake. Mtu aliyekuwa mshirika mkubwa katika mchakato wa amani ya mashariki ya kati.

Baada ya kupewa report ya mossad, waziri mkuu Ehud Barak alisisitiza diplomatic community ya Israel wakiongozwa na waziri wa mashauri ya kigeni (Huku Tanzania ni kama mzee wetu Augustine Mahiga) kuwa waingie makubaliano mapema na serikali ya Syria kabla Hafez hajafa kwa maana kwa maana hawajui ni nani atakayefuata baada ya Hafez kufariki.

Kulikuwa na dalili za kutokea kwa vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Syria na Hafez ndio mtu pekee ambaye wayahudi waliweza kumuamini kutokana na msimamo wake.

Medical report iliyokuja kuandaliwa tena na specialists wa mossad pamoja na wale wa jeshini (MI) alionesha namna hali ya Hafez ilivyokuwa inazidi kuwa mbaya kiasi kwamba aliweza kufanya kazi kwa masaa machache sana kwa siku.

Report pia ikaeleza namna ambavyo Hafez alivyoahirisha ghafla safari ya kwenda Moscow pamoja na kushindwa kuhudhuria mazishi ya mfalme Hassan wa Morocco.

Specialists wa Mossad na MI wakaja kugundua ya kuwa rais Hafez alikuwa akilazwa kila baada ya miezi mi nne ili kuweza kubadilishiwa damu.

Itaendelea wiki ijayo. Stay tunned......
View attachment 1263777
VODACOM MMEIBA IDEA YANGU.



Maendeleo hayana chama!Hongera kwa serikali ya awamu ya 5 kuwasaidia majasusi ya MOSSAD kupata mkojo huo wa kiongozi wa Syria!
VIVA JPM
 
Back
Top Bottom