Espionage: Majasusi wa Mossad walivyoiba mkojo wa Rais Hafez Al-Assad wa Syria kwa kutumia choo cha bandia

Espionage: Majasusi wa Mossad walivyoiba mkojo wa Rais Hafez Al-Assad wa Syria kwa kutumia choo cha bandia

Una tatizo upstairs,wahi kwa wataalamu kabla hujaharibikiwa zaidi,naona unabwabwaja tu hovyo na kumwaga pumba tu hapa,nadhani hata wewe mwenyewe huelewi unachokiandika,halafu naona umekazania sana neno madrasa! Vipi mumeo anafundisha madrasa?

Huyo ni Mwalimu wa chuo/madrasat.
 
Hata Tanzania ni taifa la Mungu.

Jamaa_Mbishi,
Endelea na ubishi wako. Lakini hapo ulipo hujui kabisa maana ya TAIFA LA MUNGU. Surely you know nothing about ISRAEL na ndo maana unabwabwaja tu kama kasuku...Pole sana!!!
 
Una tatizo upstairs,wahi kwa wataalamu kabla hujaharibikiwa zaidi,naona unabwabwaja tu hovyo na kumwaga pumba tu hapa,nadhani hata wewe mwenyewe huelewi unachokiandika,halafu naona umekazania sana neno madrasa! Vipi mumeo anafundisha madrasa?
Elimu elimu elimu
 
Jamaa_Mbishi,
Endelea na ubishi wako. Lakini hapo ulipo hujui kabisa maana ya TAIFA LA MUNGU. Surely you know nothing about ISRAEL na ndo maana unabwabwaja tu kama kasuku...Pole sana!!!

Kila nchi duniani ni taifa la Mungu. Kwenye Biblia ndipo jamii inaaminishwa kuwa isreal ni taifa la Mungu ni kwa sababu Biblia imeandikwa kwa ajili ya kunufaisha wayahudi as the famous saying goes kuwa history is always written for the victor.
 
Ndo kawaida yao hawa kujipigia debe kwa vitu vya kawaida,sass wanataka sifa za kuiba vinyesi.
Castro nae wamarekani walidivert Bomba la choo kwenye chumba cha hotel I aliyofikia new York wakati anahudhuria mkutano wa UN.
Wakakwiba uharo wa Fidel,wakachunguza na kudai ni mgonjwa na atakufa Mda si mrefu,
Fidel akavuta miaka 60 zaidi
Wamarekani ni kama wale wanawake wanaoning'iniza makalio dirishani wakati wakienda kwenye shughuli au sherehe Fulani za kiswahili.ni wenye midomo sana.
 
Hivi wewe unajua maana ya ESPIONAGE au unapayuka tu?? The Mossad Agents wakitaka mkojo hata wa Magufuli au wa kwako wanaupata sasa hivi.....kwa malengo wanayotaka wao!!!Ogopa sana Taifa la WATU WA MUNGU.....!!!
Kwa sasa Tanzania wamesharudisha uhusiano na Israel lakini wakti huohuo wanaunga mkono HARAKATI ZA WAPALESTINA.....tabia za upopo...!!!!!!!.Hapa ndipo mikojo na vinyesi ya watu kama Magufuli inapotafutwa kwa kutumia vyoo bandia ili wapate wanachokita.....!!
Watch out! Ukisikia MOSSAD AGENTS kaa mbali siyo watu wa mchezo mchezo!
Hapa ulipoweka masuala ya imani ndio ulipoivuruga comment yako
 
Back
Top Bottom