Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,205
- 33,287
Sio kweli,Palestina kama jina IPO hapo kabla hata ya Jordan,Iraq,modern Israel,au hata saud Arabia,nchi ya Jordan baada ya kurudisha maeneo kwa Israel walibaki wakimbizi WA Jordan ndani ya Israel Jordan ikawakataa wasirudi kwao Jordan ndio wakaamua waitwe wapalestina ndio ukawa mwanzo WA wapalestina. Na safari nyingine jina la palestina lilitumika Ni wakati rumi inatawala mashariki ya Kati ndio Hilo eneo wakalipa jina la palestina kabla ya hapo hakukuwa na jina la palestina ILA jina la Israel lilikuwapo tangu miaka 2000 BC.Jordan ikaamua kujenga uhusiiano na Israel maana Israel alikuwa jirani mwenye nguvu, Israel aliokoa Mara kadhaa ufalme WA Jordan kupinduliwa na wapinzani ndani ya Jordan ndipo urafiki WA Israel na Jordan ukazidi kuimarika . Eli Cohen alikuwa jasusi mahiri wa Israel aliyepenya mpaka sehemu nyeti za syria na kuchota siri za jeshi la syria hatua hizo zilichangia kiasi kikubwa ushindi wa vita ya 1967. Eli cohen alibadilisha jina na kuitwa jina la kiarabu( kisyria) na alizungumza kiarabu vizuri. warusi walikuja kumgundua akituma signal kwa siri israel , akanyongwa hadharani mjini damascus akawa shujaa wa israel(fallen warrior). Harakati bado zinaendelea kutafuta wapi alikozikwa ili mifupa yake irudishwe Israel kuzikwa .
Kwa mawazo yako unafikiri kipindi waingereza wanatawala hapo,eneo lilijulikana kwa jina lipi,kama sio Palestina?