A
Anonymous
Guest
Watumishi wa Umma tumefunguliwa Mfumo wa ESS ambao tumeambiwa ndio suluhisho la Watumishi lakini mfumo huu bado ni changamoto, Mtumishi anaomba uhamisho kwenye mfumo mpaka unafika TAMISEMI halafu baada ya hapo status inafutika.
Hakuna majibu yoyote ukiuliza TAMISEMI wanasema barua zimetumwa, ukiuliza Halmashauri wanasema barua hamna, sijui twende wapi, lakini pia baadhi ya Halmashauri wanaficha barua hasa Halmashauri za Mipakani mwa nchi jirani kama mikoa ya Mtwara, Lindi katika Halmashauri za Tandahimba na Newala.
ESS sio msaada ni changamoto kwa watumishi, Wakurugenzi wanaficha barua za uhamisho