Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Simaanishi kukudharau , ila mkuu huonagi aibu kuandika vitu kama hivi?Ukiangalai kwa makini hizo picha,wananchi wanaonekana kabisa wanashangaa,hawaelewi kinachoongelewa kwenye jukwaa hakiusiani na maisha yao ya kawaida.
Mlitaka chai chai iweje mnalalamika mnaunguaUkiangalai kwa makini hizo picha,wananchi wanaonekana kabisa wanashangaa,hawaelewi kinachoongelewa kwenye jukwaa hakiusiani na maisha yao ya kawaida.
Bunda mmetisha fukuza hao ccm mbali kabsa.nikirusi zaidi ya corona.Wananchi wa nchi hii hivi sasa hawaogopi tena vitisho vyake Jiwe na chama chake cha CCM, eti sitaleta maendeleo kwenye maeneo watakayochagua wapinzani!
Utadhani hiyo pesa ya maendeleo anaitoa mfukoni mwake, wakati ni pesa inayotoka Hazina, ambapo ni pesa za walipa kodi wa nchi hii, wanaccm na wana Chadema.
Hiyo Ni matokeo ya katiba mbovu, mtu mmoja anazuia maendeleo wakati Kuna bungeWananchi wa nchi hii hivi sasa hawaogopi tena vitisho vyake Jiwe na chama chake cha CCM, eti sitaleta maendeleo kwenye maeneo watakayochagua wapinzani!
Utadhani hiyo pesa ya maendeleo anaitoa mfukoni mwake, wakati ni pesa inayotoka Hazina, ambapo ni pesa za walipa kodi wa nchi hii, wanaccm na wana Chadema.
Hata kama wewe kwanini usishangae!!,kupigwa risasi Lissu ndo imekuwa sera ya waomba kura wote wa Chadema?Simaanishi kukudharau , ila mkuu huonagi aibu kuandika vitu kama hivi?
Tukio la Lissu bado ni tata ana/wana haki ya kulisema, na unaposema ndio sera ya waomba kura wote ni uongo ulipitiliza. (Nisiliseme hili tuliambiwa lisijadiliwe eti)Hata kama wewe kwanini usishangae!!,kupigwa risasi Lissu ndo imekuwa sera ya waomba kura wote wa Chadema?