Themagufulianz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2017
- 4,548
- 1,988
tumejiandaa kusema "tumeibiwa kura"
Endeleeni na edit. Majibu mtayapata 28/10
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endeleeni na edit. Majibu mtayapata 28/10
Akuna mtu Tanzania anaitwa Did Q.Kama wanavyowashangaa akina Did Q kwenye matamasha ya Meko Fiesta.
Kuna lugha ya picha,ukiona picha tu kwa macho unajua kinachoendelea.Duh!! Uwezo wako ni wa ajabu sana. Hebu tuambiwe ni nini kilichosemwa!
Kwa taarifa yako maji Mwanza ni shida kuliko bunda...... Ccm ni chama cha kigaidi na hii ni serikali ya kishetaniWana akili timamu zitakazoendelea kuwakosti. Maji tu shida hapo na Bulaya hana uwezo wa kuwapelekea maji. Wasira alipelekaga mradi wa kuchimba mbwawa chini ya Ikuzu kule, tangu Bulaya aingie limekuwa josho la mifugo na hakuna cha mradi wala babu yake mradi.
JPM hana hoja zenye mashiko zinazofaa kujibiwaTuwekee video tusikie kajibuje hoja za JPM