NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Kupigwa risasi kwa Lissu mwananchi wa kawaida akumuhusu.labda kama mnahitaji kura za huruma ambazo amuwezi pata kamwe.Tukio la Lissu bado ni tata ana/wana haki ya kulisema, na unaposema ndio sera ya waomba kura wote ni uongo ulipitiliza. (Nisiliseme hili tuliambiwa lisijadiliwe eti)
Mbona mkuu hukushangaa hoja za kibaguzi za mgombea uraisi kwa tiketi ya CCM ?
Nafatilia kampeni za mgombea wa CCM sijawai kusikia hoja za kibaguzi.
nachosikia mimi ni sera mwanzo mwisho.