NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Kupigwa risasi kwa Lissu mwananchi wa kawaida akumuhusu.labda kama mnahitaji kura za huruma ambazo amuwezi pata kamwe.Tukio la Lissu bado ni tata ana/wana haki ya kulisema, na unaposema ndio sera ya waomba kura wote ni uongo ulipitiliza. (Nisiliseme hili tuliambiwa lisijadiliwe eti)
Mbona mkuu hukushangaa hoja za kibaguzi za mgombea uraisi kwa tiketi ya CCM ?
Hivi seriously unapoteza muda wako kujibu imbecile creature kama huyo?Simaanishi kukudharau , ila mkuu huonagi aibu kuandika vitu kama hivi?
View attachment 1561814View attachment 1561815View attachment 1561816
Huu ni umati wa wananchi wa Bunda ambao pamoja na vitisho vya Mgombea mbaguzi wa urais wa ccm kwamba hawatapewa maendeleo kwa kuchagua upinzani , bado ukaamua kujitokeza kibabe na kukata ngebe zote.
Njia gani wameonyesha ?Aisee watu wa Mara ndipo ninapowapendea, hawababaishwi kipuuzi safi sana makamanda wa Mara mmeonesha njia.
Kama mikutano ya chama fulani watu wanashangaa wasanii tuUkiangalai kwa makini hizo picha,wananchi wanaonekana kabisa wanashangaa,hawaelewi kinachoongelewa kwenye jukwaa hakiusiani na maisha yao ya kawaida.
Kajibiwa.View attachment 1561814View attachment 1561815View attachment 1561816
Huu ni umati wa Wananchi wa Bunda ambao pamoja na vitisho vya Mgombea mbaguzi wa urais wa ccm kwamba hawatapewa maendeleo kwa kuchagua upinzani , bado ukaamua kujitokeza kibabe na kukata ngebe zote.
Mpaka sasa nimeshakuelewa ni mtu wa aina gani !Kupigwa risasi kwa Lissu mwananchi wa kawaida akumuhusu.labda kama mnahitaji kura za huruma ambazo amuwezi pata kamwe.
Nafatilia kampeni za mgombea wa CCM sijawai kusikia hoja za kibaguzi.
nachosikia mimi ni sera mwanzo mwisho.
JPM kwani ana hoja gani zaidi ya kuongea pumba tu ?Tuwekee video tusikie kajibuje hoja za JPM
Alikuwa na hoja gani zaidi ya ubaguzi?Tuwekee video tusikie kajibuje hoja za JPM
Msije kusema mmeibiwa kura,wazee wa kubadili gia anganiView attachment 1561814View attachment 1561815View attachment 1561816
View attachment 1561883View attachment 1561884
Huu ni umati wa Wananchi wa Bunda ambao pamoja na vitisho vya Mgombea mbaguzi wa urais wa ccm kwamba hawatapewa maendeleo kwa kuchagua upinzani , bado ukaamua kujitokeza kibabe na kukata ngebe zote.
Mbona kawaida tu ? na uwanja ni mdogo !View attachment 1561814View attachment 1561815View attachment 1561816
View attachment 1561883View attachment 1561884
Huu ni umati wa Wananchi wa Bunda ambao pamoja na vitisho vya Mgombea mbaguzi wa urais wa ccm kwamba hawatapewa maendeleo kwa kuchagua upinzani , bado ukaamua kujitokeza kibabe na kukata ngebe zote.
Mwanamke anamzidi wanaume wa LUMUMBA na Majeshi yao hahahahView attachment 1561814View attachment 1561815View attachment 1561816
View attachment 1561883View attachment 1561884
Huu ni umati wa Wananchi wa Bunda ambao pamoja na vitisho vya Mgombea mbaguzi wa urais wa ccm kwamba hawatapewa maendeleo kwa kuchagua upinzani , bado ukaamua kujitokeza kibabe na kukata ngebe zote.
Kwa hiyo ulitaka wawawekee miziki ya wale waigizaji wenu?Ukiangalai kwa makini hizo picha,wananchi wanaonekana kabisa wanashangaa,hawaelewi kinachoongelewa kwenye jukwaa hakiusiani na maisha yao ya kawaida.
Huyu kaleta picha za nyuma wakati bulaya anatoka bungeniTuwekee video tusikie kajibuje hoja za JPM
Duh! Yaani una roho mbaya wewe, inaonyesha mtu usiyempenda akipita mbele yako unamuona kama fisi hivi!hizi ni picha za mkutano wa lissu