Uchaguzi 2020 Ester Bulaya aiua CCM Bunda kifo cha kikatili mno. Uzinduzi wa kampeni wadhihirisha

Hapo hata Mama Maria Nyerere najua kuwa amefarijika sana kwa kuona muitikio mkubwa wa watu ambao hawabebwi na malori. Watu ambao kwa hiari yao wamejitokeza na kwenda kusilikiliza sera za maendeleo ya watu.

Sera zenye harufu nzuri ya uhuru, haki na maendeleo ya watu. Si zile za kubagaza watu na kuwatia hofu, ili kuwalazimisha wasifanye uchaguzi wa yule na wale wanaowataka wawe viongozi wao.
 
Hakika mkuu na hizi alizofanya Ester ndiyo siasa zinazo kubalika bila kutumia mihipa ya shingo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kupigwa risasi kwa Lissu mwananchi wa kawaida akumuhusu.labda kama mnahitaji kura za huruma ambazo amuwezi pata kamwe.
Nafatilia kampeni za mgombea wa CCM sijawai kusikia hoja za kibaguzi.
nachosikia mimi ni sera mwanzo mwisho.

"Hata Kama ni MBOVU CHAGUENI Mgombea wa ccm". - Shinyanga mjini.

"Mkichagua UPINZANI mtajuta" ,. - Masanza Kona.

"Barabara kutoka Mwibara imeishia mpakani na Bunda, tungeipeleka mpaka Serengeti, Bunda walipochagua UPINZANI tukaiacha, siwezi kumpa chakula mtoto wa jirani"

HIZO NAZO SERA NDANI YA ILANI YENU?

HUO SIYO UBAGUZI?



Majimbo YOTE yatakayo chagua WAPINZANI wa ccm, KODI ZAO WATUMIE KWA MAENDELEO YA MAJIMBO YAO TU WASIPELEKE HAZINA.

MKIPATA MISAADA KUTOKA KWA MARAFIKI (WAHISANI) ITUMIKE KWENYE MAJIMBO YENU TU.
 
Hiyo Ni matokeo ya katiba mbovu, mtu mmoja anazuia maendeleo wakati Kuna bunge
Mtu huyo moja amesema Katiba siyo kipaumbele chake ili ajinufaishe yeye na watu wake pamoja na genge lao.
 
Safi sn wana bunda.... Nyie mnaakili timamu
Wana akili timamu zitakazoendelea kuwakosti. Maji tu shida hapo na Bulaya hana uwezo wa kuwapelekea maji. Wasira alipelekaga mradi wa kuchimba mbwawa chini ya Ikuzu kule, tangu Bulaya aingie limekuwa josho la mifugo na hakuna cha mradi wala babu yake mradi.
 
Bunda hamtaki mataa barabarani kama chato?.
 
Hivi unafikiri CCM bila policcm , tumeccm , tissccm maafisa vipenyo CCM wana kitu , hamna mwananchi anayewataka kabisa nchi nzima , Mpaka wanasomba watoto kwenye mikutano Yao Mpaka aibu aiseee
 
Nitafurahi Mzee Magufuli atangaze akishinda majimbo waliyochaguwa upinzani hatokusanya kodi na ofisi za TRA kwenye maeneo hayo atazifunga.

Hapo nitamuelewa vizuri.
 
Hivi unafikiri CCM bila policcm , tumeccm , tissccm maafisa vipenyo CCM wana kitu , hamna mwananchi anayewataka kabisa nchi nzima , Mpaka wanasomba watoto kwenye mikutano Yao Mpaka aibu aiseeeView attachment 1562074View attachment 1562076
Hao watoto unaowaona hapo uchaguzi ujao wanapiga kura,washaingiziwa kitu kwenye bongo zao hutowaambia kitu wakakuelewa ni CCM mwanzo mwisho.
 
bado najuliza na naomba mungu anipe msaada , hivi mwaka huu ccm watatoa kura wapi, maana vimbunga vinatisha
 
bado najuliza na naomba mungu anipe msaada , hivi mwaka huu ccm watatoa kura wapi, maana vimbunga vinatisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…