Wana akili timamu zitakazoendelea kuwakosti. Maji tu shida hapo na Bulaya hana uwezo wa kuwapelekea maji. Wasira alipelekaga mradi wa kuchimba mbwawa chini ya Ikuzu kule, tangu Bulaya aingie limekuwa josho la mifugo na hakuna cha mradi wala babu yake mradi.