Nawe Mama mumeo yuko wapi?Mimi simo.
Msalimie Halima
Hapo nina kajambo nakajua ila naogopa kumjoin LemaMakamu wa Rais naye vipi?
Acha kupenda wakubwa utaunguaHivi Bulaya, Umi Mwalimu na Mdee wameshaolewa?
Maana naona navutiwa nao kwelikweli.
Tangaza niaJamani, hivi Ester Bulaya kaolewa?
Mme wake ni nan, yupo wapi na ana kazi gani?
Na watoto je?
Najaribu kufikiria kwa sauti.
uwezo, akili na nguvu unazo tangaza nia mkuu tupo nyuma yakoHivi Bulaya, Umi Mwalimu na Mdee wameshaolewa?
Maana naona navutiwa nao kwelikweli.
fulsa hyoooMume wa Ester Bulaya anaitwa DCP Gustavus Babile Afisa wa ngazi za juu wa Jeshi la Polisi Makao Makuu ambae pia ni Mkuu wa Kitengo cha Interpol Nchini Ila kwa Muda sasa wametengana na Kila mmoja anaendelea na Jukumu la Ujenzi wa Taifa kwa kadri alivyoruzukiwa na Mola!
***Hivi Bulaya, Umi Mwalimu na Mdee wameshaolewa?
Maana naona navutiwa nao kwelikweli.
***fulsa hyooo
wewe na hao jamaa zako waliokupa like wote ni ma ccm sura mbaya hata avatar zenu hazina mvutoHalima nani sijui ndo nanihiiii wake
Mkuu nitumie hako 'kajambo' PM pls.Hapo nina kajambo nakajua ila naogopa kumjoin Lema
Mkuu....Hapo nina kajambo nakajua ila naogopa kumjoin Lema
Hawa warembo nawakubari kweri kweri,Hivi Bulaya, Umi Mwalimu na Mdee wameshaolewa?
Maana naona navutiwa nao kwelikweli.
Itakuwa siasa imewanyumbulisha!Mume wa Ester Bulaya anaitwa DCP Gustavus Babile Afisa wa ngazi za juu wa Jeshi la Polisi Makao Makuu ambae pia ni Mkuu wa Kitengo cha Interpol Nchini Ila kwa Muda sasa wametengana na Kila mmoja anaendelea na Jukumu la Ujenzi wa Taifa kwa kadri alivyoruzukiwa na Mola!
[emoji3] [emoji3] [emoji779]Utaweza kuishi na watu wa fani Yao ? Maana Wanasiasa ni waongo wa Muda wote na hata ikitokea akiwa anaongea peke yake huwa wanajiongopea na kujipa Matumaini hewa!
Mm navutiwa na Kairuki mkuuHivi Bulaya, Umi Mwalimu na Mdee wameshaolewa?
Maana naona navutiwa nao kwelikweli.
mmh kwa jinsi ulivyoandika basi habari yako inafanana na yanguMkuu....
Bora ukaage kimya ili usikutane na mkono wa sheria ya m 7.
Kuna jamaa flani yupo kwenye kitengo aliwahi kunimegea habari ya yule mama.
Yaani nilibaki kinywa wazi kama vile ilikua ni hadithi ya kutunga.
Ngoja niishie hapa tafadhali
Nifah unaweza niunguza,tena wazee wa kazi huwa wanatumia wadada hasa wapenda ubuyu humu JF.Mkuu nitumie hako 'kajambo' PM pls.
Hili swali hunitatiza sana.
Thanks