Ester Bulaya ameolewa?

Ester Bulaya ameolewa?

Mume wa Ester Bulaya anaitwa DCP Gustavus Babile Afisa wa ngazi za juu wa Jeshi la Polisi Makao Makuu ambae pia ni Mkuu wa Kitengo cha Interpol Nchini Ila kwa Muda sasa wametengana na Kila mmoja anaendelea na Jukumu la Ujenzi wa Taifa kwa kadri alivyoruzukiwa na Mola!
fulsa hyooo
 
Hapo nina kajambo nakajua ila naogopa kumjoin Lema
Mkuu....
Bora ukaage kimya ili usikutane na mkono wa sheria ya m 7.
Kuna jamaa flani yupo kwenye kitengo aliwahi kunimegea habari ya yule mama.
Yaani nilibaki kinywa wazi kama vile ilikua ni hadithi ya kutunga.
Ngoja niishie hapa tafadhali
 
Mume wa Ester Bulaya anaitwa DCP Gustavus Babile Afisa wa ngazi za juu wa Jeshi la Polisi Makao Makuu ambae pia ni Mkuu wa Kitengo cha Interpol Nchini Ila kwa Muda sasa wametengana na Kila mmoja anaendelea na Jukumu la Ujenzi wa Taifa kwa kadri alivyoruzukiwa na Mola!
Itakuwa siasa imewanyumbulisha!
 
Mkuu....
Bora ukaage kimya ili usikutane na mkono wa sheria ya m 7.
Kuna jamaa flani yupo kwenye kitengo aliwahi kunimegea habari ya yule mama.
Yaani nilibaki kinywa wazi kama vile ilikua ni hadithi ya kutunga.
Ngoja niishie hapa tafadhali
mmh kwa jinsi ulivyoandika basi habari yako inafanana na yangu
 
Back
Top Bottom