Utaelewa tu pamoja na kujitoa ufahamu.Unashangaa kuwaalika Bulaya na Mdee mbona hushangai Mbowe kutangaza mchango wa Rais Samia na yeye sio Askofu Mkuu?Utaelewa tu it is just a matter of time.Kwamba mialiko ya Kanisa la KKKT anaitoa Mbowe ! kwamba yeye ndiye Askofu wa Kanisa hilo au mimi sijaelewa ?
Halima Mdee na Easter Bulaya, wakihojiwa na waandishi wa habari, wamesema, Mwenyekiti wa Chama chao amewaalika kuhudhuria harambee ya ujenzi wa kanisa.
Je, Mbowe hana kinyongo nao? kuna dalili hawa watu watasameheana? Je ni nani anakwamisha wasisameheane? Lissu?
Safi Sana 😂😂Utaelewa tu pamoja na kujitoa ufahamu.Unashangaa kuwaalika Bulaya na Mdee mbona hushangai Mbowe kutangaza mchango wa Rais Samia na yeye sio Askofu Mkuu?Utaelewa tu it is just a matter of time.
Huyu hapa. Kwaya ya upendo kijitonyama ndio iliyoalikwa. Wao wanasali hapo na kwenye kwaya hiyo. Wamechukua fursa hiyo kujipendekeza, kujichomekea maneno kama walialikwa wao binafsi. Ilialikwa kwaya na kanisa. Mbowe sio anaetoa mialiko. Mbowe ni smart sana,hawezi kufanya hicho wanachochokilazimisha.Upendo Kwaya Kijitonyama
kwani si anakula ruzuku, au unafikiri ruzuku inaenda wapi.Halima Mdee na Easter Bulaya, wakihojiwa na waandishi wa habari, wamesema, Mwenyekiti wa Chama chao amewaalika kuhudhuria harambee ya ujenzi wa kanisa.
Je, Mbowe hana kinyongo nao? kuna dalili hawa watu watasameheana? Je ni nani anakwamisha wasisameheane? Lissu?
Mnajua kujipa dhambi na kazi ya aibu.Waache kusagana hawa wabunge wawili. Wanajidhalilisha japo hawana aibu
Kwani mshirika haruhusiwi kualika marafiki kwenye harambee?Huyu hapa. Kwaya ya upendo kijitonyama ndio iliyoalikwa. Wao wanasali hapo na kwenye kwaya hiyo. Wamechukua fursa hiyo kujipendekeza, kujichomekea maneno kama walialikwa wao binafsi. Ilialikwa kwaya na kanisa. Mbowe sio anaetoa mialiko. Mbowe ni smart sana,hawezi kufanya hicho wanachochokilazimisha.
Na wewe unasagwa na nani?Waache kusagana hawa wabunge wawili. Wanajidhalilisha japo hawana aibu
Kenge wa cdm bona wamelala usingizi wa ponoMahakama ilishatamka kuwa tulishawatimua.
Sasa kwa nini amewaalika kama wabunge?
View attachment 2859046
Mbowe amesalenda 😆😆Halima Mdee na Easter Bulaya, wakihojiwa na waandishi wa habari, wamesema, Mwenyekiti wa Chama chao amewaalika kuhudhuria harambee ya ujenzi wa kanisa.
Je, Mbowe hana kinyongo nao? kuna dalili hawa watu watasameheana? Je ni nani anakwamisha wasisameheane? Lissu?
Siasa zielewe mjumbe. Vinginevyo, zitakuletea msongo wa mawazo. Mimi nimezielewa hazinipi shidaMnajiliwaza ila tunapenda kuwaeleza mwakahuu na ujao kipigo kipo palepale huyo mamayenu mwambien kuwa akipata asilimia 25 ya kura aende akatambike kizimkaz.
Yaani umekumbuka shuka kumekucha!Huwa Nina mashaka.sana na mwenyekit mbowe iko kama amaebariki hicho awalichokifnya kina halima
Hilo liko wasiWachaga huwa hawakatai pesa
Kwani hilo kanisa ni la Chadema? Nini uhusiano wa michango na kufukuzwa Chadema.Halima Mdee na Easter Bulaya, wakihojiwa na waandishi wa habari, wamesema, Mwenyekiti wa Chama chao amewaalika kuhudhuria harambee ya ujenzi wa kanisa.
Je, Mbowe hana kinyongo nao? kuna dalili hawa watu watasameheana? Je ni nani anakwamisha wasisameheane? Lissu?
Acheni Mambo Ya Kutaja Wazazikama alivyo babayako